Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

eee bana eeeh mnona vitini hakuna watu...wamezomea Ashley Cole mpaka wamechoka..........

haya mambo ya chenga twawala bana wala hayafai kabisa
 
Post yangu hapo nyuma nilisema wameposses mno lazima watafungwa lingine.
Wenger inabidi abadili strategy afikirie uwezo wa timu yake kupambana na timu kubwa. His team is in experienced. Hiyo ni km warm up ya Champions. Akikutana na hao jamaa hataweza kufurukuta. No matter what Chelsea is a big team at the moment probably in the world.
 
when will wenger introduce plan b to his players when we need to change a game n win it ? huwezi ukakaa unatumia style hile hile tu kutafuta ushindi hata kama imekataa.mida mwingine we need to forget about beautifull goals mashuti pia ni poa tu.
 
Am buying chelsea jersey tomorrow!......i can't be on the loosing arsenal side any more!
 
kweli chamakh anahitajika hawa mastriker laini laini kama eduardo na vela wanafaa kwenye show game tu wakati tushashinda lakini mechi ngangari kama hizi noma.
 
Champions itakuwaje? Duh jamaa atafute strikers wakueleweka
 
ngoja tuamie kwenye mechi ya barcelona na madrid sasa kukamilisha siku manake wamempa nafasi masanilo kuchafua hali ya hewa humu wiki nzima.
 
Ngoja tuone dirisha dogo January labda kuna maamuzi ya maana atayafanya. Aliwaacha kila Kolo Toure and this is the price
 
Am buying chelsea jersey tomorrow!......i can't be on the loosing arsenal side any more!

it depends wewe unashabikia timu kwa sababu zipi, kama mtu ni arses, leeds, barca, liverpool, manure etc. si rahisi kuhamia timu nyingine simply because timu inashinda

goodluck with your scums venture
 
Jamani wanaArsenal nawapeni pole sana hii ndiyo halisi, watoto hawawezi cheza na baba zao!
 
mda umefika kumfungulia almunia mlango akatafute maisha timu nyingine.jamaa yuko golini kama ushahidi tu wakati anahitajika wala haonekani.forward pale mbele its about time wenger to swallow his pride n just get a real striker ambaye akikamata mpira mabeki wanachanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom