Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 824
- 132
Nambieni Leo wale wahuni chelsea watatoka emitarates
Mapema muno kusema lakini lengo ni kuwanyowa...kumbuka jamaa wanafahamu kabisa kuwa MU walishinda jana
Nambieni Leo wale wahuni chelsea watatoka emitarates
Mpambano ndio umeanza, yetu macho, masikio, miguu na mikono kwa wale wenye midadi!!
asante mkuu, si unajuwa sisi wa bure
safi sana Chelsea.....hoooo.....hooooo
tunahitaji kushinda mechi tunapocheza vizuri. makosa yanatuadhibu, hata hivyo ni mpira, tuna dk 45 zingine.
tunahitaji kushinda mechi tunapocheza vizuri. makosa yanatuadhibu, hata hivyo ni mpira, tuna dk 45 zingine.