Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ngoja tuamie kwenye mechi ya barcelona na madrid sasa kukamilisha siku manake wamempa nafasi masanilo kuchafua hali ya hewa humu wiki nzima.

Baba ni baba tu! Pamoja mkuu ngoja tuangalie Mechi nyingine Barca na Madrid
 
Hii michezaji ya Arsenal ovyo kabisa, imeregea kama mboga ya mtoriro!
 
Baada ya kutundikwa 3 mtungi mimi nimeshahama channel kuangalia match of the day kati ya Barcelona na Real Madrid ambayo ndiyo imeaanza sasa hivi.
 
Didier Drogba anatuonea sana
mie nilikuwa namtegemea sana varmelen kumzibiti drogba na kajitahidi kusema ukweli lakini huyu jamaa anatufunga sana kusema kweli.


tunahitaji sana plan b kwenye timu yetu haya mambo ya kuwa 2 goals down alafu tunacheza utasema sisi ndio tunaongoza ni vigumu sana kuendelea nayo kila siku.
 
poleni sana zeGanaz.....Tatizo watoto wanacheza kama wako training ground!!!

Nakubaliana nawe kabisa maana kulikuwa na nafasi kama tano hivi ambazo kama zingetumiwa vizuri si ajabu tungekuwa tunaongea mengine. Wanataka kumpiga chenga mpaka nyanda! badala ya kujarubu mashuti ya mbali wanapoingia kwenye 18 hadi 25 za timu pinzani kitu ambacho si rahisi
 
Hakuna excuse, same old Arsenal, kipa hawezi kucheza krosi, hatuwezi kucheza free-kicks na kona. Kwa kweli inauma sana. Anyway ubingwa tusahau kama kawaida nafasi zetu ni ya 3 ama 4.
 
Poleni sana, msimlaumu goli kipa wenu, amefanya kazi nzuri. Walinzi ndo wakulaumiwa hasa huyu jamaa yenu mpya Va (5) kacheza ovyo. Kama timu ilifanya kosa kuacha mchezo wake wa pasi fupi na kasi. Hasa katika kipindi cha pili timu iliiga mchezo wa Chelsea. Maybe refa aliwakatisha tamaa wachezaji kwa kufanya kinyume na matarajio yao.
 
Of course hakuna visingizio, whoever is fielded in will represent Arsenal FC or the other guyz! so far hatujazoea kutoa visingizio kihivyo. Leo kutoka mtu hapo Emirates ni ngumu sana!!
Umesema kweli mkuu!
 
tunahitaji kushinda mechi tunapocheza vizuri. makosa yanatuadhibu, hata hivyo ni mpira, tuna dk 45 zingine.
Acha uongo, hamjacheza vizuri....mpira wote umechezwa on the mildfield not many clear chances, na actually Chelsea wamecreate more chances than you guys!
 
go ahead bandwagon n next year u can buy another team jersey lol.

haha Manazi....Arsenal is lacking Brave hearts!...we play the ball,other people put it behind the net!....That's what we have my fellow Nazis as long as we have Wenger with his kids policy!....Hard to swallow i know,understandable!
 
Gap la Van Persie limeonekana ila wanahitaji Striker wanguvu. Eduardo kavuruga saana. Huwezi kuposses hivyo halafu unashindwa kuscore

Mbona unaongea kama vile posseision ilikuwa kubwa sana, stats zinaonyesha 56% vs 44% to Le Arse!
 
mda umefika kumfungulia almunia mlango akatafute maisha timu nyingine.jamaa yuko golini kama ushahidi tu wakati anahitajika wala haonekani.forward pale mbele its about time wenger to swallow his pride n just get a real striker ambaye akikamata mpira mabeki wanachanganyikiwa.

Almuntazir mbavu za kushoto zinamuuma leo!
 
Poleni watani, kweli aliyesema "watoto hawawezi kufanya kazi za wakubwa" hakukosea.
 
Back
Top Bottom