Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Morinyo anaendelea kumnyanyasa Wenger
......halafu, huyu #Mourinho ananikumbusha machungu ya enzi zile Super coach #SylversaidMziray RIP alipokuwa Yanga..... Yaaani kila Simba ikitia mguu tulikuwa tunalambwa, dahh...