Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
Timu B imewafunga mkiwa na England Star Wilshire, Ramsey, Carzola, na bado mkamleta Mjusi na Kajiru....
Their next fixtures are;
Vs Liverpool
Dortmund Vs
Man United Vs
Vs Southampton
Watu wanaanza kulisusa jukwaa lao,wiki mbili zilizopita walikuwa wanajaa hapa,Kama kawaida mwisho atabaki Wacha1 na Balantanda
![]()
Back in training: Lukas Podolski is closing in on a return
... ..... .... .... ..
Chipukizi wa Gunners hawakufua dafu kwa wauza unga ..... .... ...... .... ingawaje refa kawasaidia sana, malipo yanawachubiri kwenye mtanange wa kwenye EPL mburukenge walioibuka hawatusumbui tumepoteza mechi lakini tumepunguza tight fixtures.
Hahahahaaaa eti chipukizi wa gunners!
ThenRefa kasaidia, heheheheehheeheeeeeee
HalafuEti mmepunguza tight fixtures, kwani mnaingia kushiriki au kushindana.
Wacha,
Unaona haya Benchi lenu nyanya?
![]()
Prof Arsene Wenger akisalimiana na manager wa Chelsick
![]()
Close call: Mark Schwarzer (right) stands firm
as Arsenal's Ryo Miyaichi (left) lifts the ball over him
![]()
Toe to toe: Tomas Rosicky (right) tries to nick the ball away
![]()
Back in the game: Nicklas Bendtner (right) was given the nod
ahead of in-form striker Olivier Giroud
![]()
T5 alikuwepo .... ...
![]()
Santi back in action .... ...
![]()
Real love: Ozil and Chelsick manager were together in Madrid
![]()
Manager wa chelsick kaambulia Jezi la Ozil's shirt
Kalitamani kamwambia amtafutie lingine ..... ..
![]()
Prof alikuwepo kwenye touch line .... ....
Naona kuna picha nyingine kwenye hiyo link probably umezioverlook..
Thats the problem, even at school you can see how you performed .. ..... ..... ... it is clearly stated hili ni jukwaa la Gunners chacha maloloso ya Mafioso yanahusiana nini na Gunners chi uwapelekee kwenye jukwaa lao. Phew! How do you wannna be educated!
kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Huyu Chipkizi nae nipeleke jukwaa la Chelsiki?
Absolutely.
Do you know the meaning of a Forum? Kuna sub folders etc and people can comment or contribute to what they feel or think is fit for that purpose. You can not fault another member for not mentioning your interests. Its a free world were we dare talk openly .... .... ... oooops not at JF anymore ... .... God help me.
BTW Kama hujipendi nenda kawacheme vibaya mafioso uone cha ntema kuni. Hizi chuki binafsi walizonazo kina
peas of ants na invisible Mungiki brother are well documented, usione mentor i n g I d i o t s haguswi au Inzi amekuwa miaka yote hii wakati maisha yake hayazidi chiku 7 ..... ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hahahahaa kimyaaaaaaa!!!!
Poleni sana. Msimu ndo kwanza umeanza na wote mmeingia mitini mlipoona mnacheza na timu kubwa.
Come on Loserfools YNWA
Wengi hawampendi huyu jamaa, wanamwona kama shetani, maana akiwepo wanajua wazi kuwa ni ngumu sana kuifunga Chelsea.
Wapinzani wa Chelsea wangependa sana Rafa aendelee kuwa kocha ili aifanye timu iwe kama Liverpool.
Bora uliaga mapema kabisa.