Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mentor
Huyu jamaa sijui kwanini sio shetani wangu kwani kila nikiangalia Chelsea wakati wa RAFA ilikuwa nzuri kiuchezaji kuliko sasa
tuangalie mtanange leo, Sitokuwapo kutokana na majukumu ya kimaisha

Wengi hawampendi huyu jamaa, wanamwona kama shetani, maana akiwepo wanajua wazi kuwa ni ngumu sana kuifunga Chelsea.

Wapinzani wa Chelsea wangependa sana Rafa aendelee kuwa kocha ili aifanye timu iwe kama Liverpool.

Bora uliaga mapema kabisa.
 
gun__1382966305_vermaelen_training.jpg



T5 atakuwepo uwanjani kesho kuwakabili mafioso ..... ....




zp_185936388_SM_1068_7_9D30DD1_4263.jpg




zp_185936388_SM_5261_8_9D30DD4_9076.jpg


The duo arrives at Colney ..... ..



zp_185936388_SM_5299_4_9D30DD7_7732.jpg




Prof akiwaasa vijana .... .... ..



zp_185936388_SM_5364_B_9D30DDE_6713.jpg




zp_185936388_SM_5479_2_9D30DE4_8099.jpg


Mazoezi yaliwajumuisha chipukizi wa Gunners


zp_185936388_SM_5543_3_9D30DE6_7550.jpg






zp_185936388_SM_5617_9_9D30DF1_6499.jpg




zp_185936388_SM_5643_1_9D30DF7_6899.jpg


Fabianski anategemea kuwa golini ..... ..



Chipukizi wa Gunners wapo tayari kukwaana na Wauza unga
kesho jioni mpira ni £10 tu kwa dogodogo asie na mwana aeleke jiwe .... ...



​BTW kijana machachari kutoka ujerumani ameongeza mkataba kwa miaka mitano ijayo .... .... ... guess who? ... .... ...

Pole msema hovyo umekaa 2 nyumbani. Khe..khe..khe
 
Ni sehemu pia ya Matokeo katika mchezo wa soka, so hatuna budi kukubaliana nayo,
and for now ts time to wait for the game againts Liverpool.
 
Ni sehemu pia ya Matokeo katika mchezo wa soka, so hatuna budi kukubaliana nayo,
and for now ts time to wait for the game againts Liverpool.

Am afraid, utarudia hii post. Liverpool will rest you guys in pieces.
 
article-0-190F7F3800000578-772_634x424.jpg

Back in training: Lukas Podolski is closing in on a return
... ..... .... .... ..


Chipukizi wa Gunners hawakufua dafu kwa wauza unga ..... .... ...... .... ingawaje refa kawasaidia sana, malipo yanawachubiri kwenye mtanange wa kwenye EPL mburukenge walioibuka hawatusumbui tumepoteza mechi lakini tumepunguza tight fixtures.
 
Back
Top Bottom