BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Kufungwa si mwisho wa maisha ngoja J1.
Raha sana kujipa moyo.. Ni kweli mkuu! Life inasonga au siyo?!
Kufungwa si mwisho wa maisha ngoja J1.
Kufungwa si mwisho wa maisha ngoja J1.
Mentor
umepata wewe, mimi ndio kwanza ninaamka ngoja nikatafute uji ninywe,
Ligi ya EPL
Timu yako nzuri kama wewe Chelsea lakini tutakutana tena usiwe na haraka
Hongera
huyu jamaa ana bahati kwani hata Real aliharibu na hapo haitochukuwa muda mrefu haifiki misimu miwili utamuona atakavyofanya
WTO kwa kuongoza ligi kidogo mnatangaza na ubingwa! Kwa timu gani mliyo nayo!?
Mawiiiiii!
Update
22.10.13 - Champions League: Arsenal 1 v B. Dortmund 2
26.10.13 - EPL: C.Palace 0 v Arsenal 2
29.10.13 - Capital One cup: Arsenal 0 v Chelsea 2
NEXT
02.11.13 - EPL: Arsenal v Liverpool
06.11.13 - Champions League: B. Dortmund v Arsenal
10.11.13 - EPL: Man. Utd v Arsenal
Raha sana kujipa moyo.. Ni kweli mkuu! Life inasonga au siyo?!
Ukweli haujifichi Gunners tunatisha angalia umati wa mburukenge unavyoshehereka tulipopoteza mechi kwenye kombe la mbuzi. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Kama Mentor i n g i d i o t s alivyochema ati kuna EMT or whatever the name he uses now ...... ...... .... majina mangapi wamebadili ili kujikinga na ukweli ulio wazi as for EMT I challenge him to come open and say how many names he has changed since this thread ilipoanzishwa. Mimi sishangai na hawa viota wanaoweweseka wakati ni mchana kweupe. As for Mancs washabiki wake wanachekesha sana wamepoteza mechi kwenye bread and butter competition wakati wapo full nondo wakati chichi tumewaachia wauza unga washinde wajisikie vizuri mkung'uto unawachubiri siku si nyingi tukikwaana kwenye EPL I know they know jinsi tutakavyowasambaratisha. Gunners mziki wetu mkubwa wether you like it or not.
Wote wanaojificha timu zao zikifungwa ni mburukenge tu including wanaobadili majina kama Inzi ooops chio Inzi wa JF khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee BTW Inzi ulikuwa unatumia jina gani kabla ya hili .... .. au unataka tukuumbue na wewe. Wacha fujo ..... ... huonekana wakibahatisha ushindi. Chelsick thread inaota magugu wanatokea wakiona wamebahatisha chijui watabadili managers mara ngapi ..... ... Prof yupo pale pale hatutegemei pesa za kuuza unga.
Ulipotea naona umefufuka leo kisa ati Gunners wamepoteza mechi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kweli kuna wasioona aibu khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hebu hesabu hii ni post yako ya ngapi tangu EPL ianze .. ..Wacha ngebe nenda kawauguze mashoga na divers pale Old Trashford.
......pheeewww, kumbe King'asti nawe ni mpenzi wa mpira na tena 'sadly' shabiki wa #Chelsea ... Haya bana....
Bora nawe umeonyesha #TrueColors ....
Msikimbie tu hapa....
Ndoto za alinacha hizo.
Badala ya kusubiri aharibu ili utese ni bora ujiimarishe ili utese nae.
Never ever want to succeed based on another man's failure.
Rather, succeed by beating him when he is at his very best.
23 December ndo unaiongelea ama mechi ipi tena mkuu!?? Aisee hiyo chezesheni first squad yenu sisi tutaweka ileile ya jana na hamfui dafu...wachumba zetu tu nyie bana kubalini!
Kumbe Arsenal kufungwa.....Tena kwenye Capital One Cup siku hikzi ni ishu kihivyo......Humu bado kuna matanga tu?
Nawasalimu tu mashabiki wenzagu wa soka...
BAK Mbu Balantanda
Wacha1 makelele yote fyatuuuuu
Hivi Arsene Chenga si alisema hasipobeba kikombe chochote ataachia ngazi?
Sasa kwa kutolewa kwenye hiki kikombe cha mbuzi, si ina maana aanze kufungasha kilicho chake? Maana alipigia hesabu kikombe hiki ndicho kingemwepusha na ukame mwaka huu....sasa chali...
#WengerOut is trending.......
Mentor
Hata hiyo Dec pia tutakutana au wewe unamtegemea Mourinho?
Kumbe Arsenal kufungwa.....Tena kwenye Capital One Cup siku hikzi ni ishu kihivyo......
Kazi kwelikweli......
Kama ni kufukuzwa AW angefukuzwa kati ya 2005-May 2013.......Na kama kufungwa ndio kigezo cha kumfukuza AW basi mtaalamu David Moyes sasa hivi angekuwa jobless....