Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na utamu wa mpira ni utani, Arsenal
bila Man u au Chelsea si lolote kwa mfano!!!!
 
RVP kila akiangalia Arsenal inavoweka mpira anaona bora asingeliondoka,
anaweka ngumu eti mgonjwa kumbe ngoma nzito timu haiendi Moye kaenda kuomba msaada SAF arudi
 
Sio kama tulizidiwa na Borussia Dortmund, ila naona vijana mabichwa yalikuwa makubwa, wakitegemea watashinda tu, leo ni nafasi ya vijana kutuonyesha walikosea na watashinda...
 
RVP kila akiangalia Arsenal inavoweka mpira anaona bora asingeliondoka,
anaweka ngumu eti mgonjwa kumbe ngoma nzito timu haiendi Moye kaenda kuomba msaada SAF arudi
RVP tayari ana medali ya EPL baada ya kuitafuta kwa misimu 8 aliikosa,hapo kikosi chako hakuna aliyewahi kuchukua hilo kombe
 
Belo
Hiyo medali ndio imetoka ataisikia redioni
Vipi leo mutatoka au munaangalia upepo utavumia wapi, timu lenu halitabiriki mwaka huu
RVP tayari ana medali ya EPL baada ya kuitafuta kwa misimu 8 aliikosa,hapo kikosi chako hakuna aliyewahi kuchukua hilo kombe
 
Last edited by a moderator:
Arsenal mkippoteza game moja kwisha habari,,,,,,mna nguvu ya soda
 
gemu ngumu leo alipotoka Flamini kati kumepwaya, C Palace wanacheza 4 mid kuzuia beki za Arsenal kupanda
Hivi tupo pungufu ndio hivyo lazima tulinde goli
Arteta kapewa red
 
Back
Top Bottom