Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Belo rudi nyumbani kule ukazime moto wa majanga sisi tutakusaidia majamvi na matanga
nakuuliza tena vipi mutatoka leo?
 
kwa kudra za Mwenyenzi Mungu imepatikana la mwisho.

hamjakutana na chelsea,man u,man city,chelsea,liverpool...sahau kuwa kileleni

Mpira hauchezwi mdomoni Chifu...Mpira unachezwa uwanjani dakika 90....Baada ya dakika 90 ndio matokeo yanajulikana.....

So subiri game za hizo timu zichezwe ndani ya dakika 90 ndo uje na kauli zako hizi....
 
kwa kudra za Mwenyenzi Mungu imepatikana la mwisho.

hamjakutana na chelsea,man u,man city,chelsea,liverpool...sahau kuwa kileleni

Mlisema ohh subirini October .. Naona October inayoyoma .. Hehehe
 
Wapi Nzi wa ma-picture,leo Wacha1 hakuna kubandika picha,inaonekana kuna watu wanaijua kazi yako kuliko wewe.
 
Last edited by a moderator:
Kila Arsenal tukishinda wanasema tusubiri mechi na Nani sijui...???
Walisema Napoli watatuabisha wapi Mara Totenham wapi....
Wanga wanazidi kusogeza mechi mbele tu ahaaaaa ahhhhhaaa.....
Shauri zenu tunazidi kujiimarisha kileleni tu.
 
Ahsante sana BAK
kutoka OBI van tunaelekea Old ..... kwa maelezo zaidi
Belo vipi leo mutatoka? bado hutaki kujibu ngoma nzito, ubingwa ulikuwa wa SAF nae kaondoka nao sijuwi lini mutarudi tena (ooppss SAF anarudi)
Mhhhh! Wandugu Masanja hana kawaida hiyo.
 
Last edited by a moderator:
kwa kudra za Mwenyenzi Mungu imepatikana la mwisho.

hamjakutana na chelsea,man u,man city,chelsea,liverpool...sahau kuwa kileleni

asante mkuu 2endelee kuangalia league inavyoenda, huenda 2kafungwa mbeleni....only time will tell
 
Crystal-Palace-v-Arsenal--003.jpg

Crystal-Palace-v-Arsenal--004.jpg

Crystal-Palace-v-Arsenal--005.jpg

Arsenals-Mikel-Arteta-sco-6lg.jpg

Crystal-Palace-v-Arsenal--003.jpg

Arsenal-fans-celebrate-th-002.jpg

Crystal-Palace-v-Arsenal--001.jpg
 
Usiache kupost banaaaa....Acha kususa susa Mkuu haihuuuuu kitu...Mie hufurahia sana ukipost hapa maskani kwetu.

Kuna watu wanachukia mimi kupost humu...hivyo kuanzia leo hutaona nimepost humu kwenye kijitimu kidogo cha pale London.....
 
Usiache kupost banaaaa....Acha kususa susa Mkuu haihuuuuu kitu...Mie hufurahia sana ukipost hapa maskani kwetu.

Kuna watu wanachukia chifu...hawajui kama soka ni mchezo wa utani na ushabiki...bila hilo hakuna utamu wa soka....

Hivyo ni kheri niwape amani kwenye jukwaa lao....
 
Back
Top Bottom