Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakuelewa chifu....stress za kufungwa tu hizo...

Nimeshakwambia kazi yangu ni kushinda JF na kupost kwenye hii thread...sasa unapotaka nifanye kinyume na kazi yangu, nakuwa sikuelewi ati...

Anyway, United 1 Real 0..12th min..
Ya Ngoswe......
 
Wakuu wa Gunners wachezaji wako down kweli kweli, lakini wameahidi kule Ujerumani kutawaka moto ... .... .. ngoja tuwakodolee Manure kule kwao na mtanange wao.
 
United 1 Real 0..10th minute


This is too low of you, what do you wanna prove? Au unataka na hii thread waifungie kama ile ya ''New Era at the Emirates'' maana walibandika picha za Chelsick kabla ya kuikomelea kisa wivu wa kike .... .... .... .... msome Bala hapo mambo ya Ngoswe ..... na hao Real wa wapi au ni Madrid? Wacha kamba wewe!
 
zp_02_Gibbs-1_5965.jpg



Gibbs .... .... ...



zp_04_Arteta-1_2709.jpg



Arteta ... ..... ...



zp_05_Giroud-goal-5_6004.jpg



zp_06_Giroud-goal-2_398.jpg


Giroud .... ....


zp_07_Giroud-goal-1_4117.jpg



zp_09_Giroud-goal-3_8675.jpg



zp_10_Koscielny-1_7080.jpg


Kosc .... ...



zp_11_Wilshere-1_5258.jpg


Jack .... ..



zp_12_Rosicky-1_4380.jpg


Ros ..... ...


zp_13_Ozil-1_3312.jpg




zp_15_Ozil-2_9370.jpg



Ozil ... ....



zp_16_Ramsey-2_3270.jpg



Ram ... ....


zp_17_Cazorla-1_4940.jpg


Sant .... ..


zp_18_Sagna-1_6991.jpg



Sagna .... ...
 
Mkuu Wacha hii gemu sikuiona lakini kwa picha ulizoweka nahisi kama hawa BDB walikuwa wakicheza kwa nguvu zaidi kwani kama wangeliweka mpira basi sijuwi matokeo yangelikuwaje
Nimependa Ozil mmoja na BDB wanne
 
Mkuu Wacha hii gemu sikuiona lakini kwa picha ulizoweka nahisi kama hawa BDB walikuwa wakicheza kwa nguvu zaidi kwani kama wangeliweka mpira basi sijuwi matokeo yangelikuwaje
Nimependa Ozil mmoja na BDB wanne

Afadhali hukuiona maana ungepata pressure kwa jinsi mlivyopoteana Ramsi alikuwa anacheza beki tano, Ozil yeye aliamua kukaa kwenye chaki na kila akigusa tu wanachukua mpira wao
 
Afadhali hukuiona maana ungepata pressure kwa jinsi mlivyopoteana Ramsi alikuwa anacheza beki tano, Ozil yeye aliamua kukaa kwenye chaki na kila akigusa tu wanachukua mpira wao

Na hata beki kuokoa shuti la Rosisky na Cazorla kugonga mwamba yote hayo hukuona tuseme ukweli muda mwingine jamani sio kuongea kama tupo sehemu ambayo unaowaambia hawana uwezo wa kuona hizo mechi na hata mwisho wa mchezo Arsenal walikuwa wanaongoza kwa umiliki wa mpira tuache mambo ya kiswahili muda mwingine wakati unamueleza mwenzio
 
Hahahahaha lol! Mchokozi weye ehhh!!! Nasikia SAF karudi mtaani lol!!!! Yule More no kawa kama picha tu mambo yote mwenyewe SAF.
Uchokozi muhimu kwenye soka🙂 haha...yaani tuna yumba yumba kweli..Aggggrrr!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli aisee, mpira bila utani na uchokozi katika ya mashabiki unakuwa haunogi, mnayumba kweli sasa sijui kama tutafahamu ni nani anahusika na uamuzi wa SAF kurudi "kumsaidia" More No (Sijui ni wachezaji, Management & owners of MANU, More No au SAF mwenyewe) ngoja tusikilize labda tutasikia.

Uchokozi muhimu kwenye soka🙂 haha...yaani tuna yumba yumba kweli..Aggggrrr!!
 
Back
Top Bottom