Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

babu kubwa niko pamoja na nyinyi sema mechi kama hii huwa napenda kuiangalia kwa utulivu sana.tutaongea zaidi baada mpira kwisha kuichambua game.all the best for the remaining minutes.
 
Arsenal are still enjoying more possession at the beginning of the second half... but still no breakthrough for the hosts
 
babu kubwa niko pamoja na nyinyi sema mechi kama hii huwa napenda kuiangalia kwa utulivu sana.tutaongea zaidi baada mpira kwisha kuichambua game.all the best for the remaining minutes.

Mkuu unanipaga raha sana hasa mnakuwa kuwa mmefungwa hahahahaha asante sana!
 
poleni maana naona mkifika kumi na nane mnachachawa
 
Hawa vijana wanacheza vizuri but the they cannt score! Very likely wakaongezewa goli maana chelsea wanatumia vyema nafasi zao
 
watoto wapumbavu wanataka kutembea na mpira mpaka golini wakati watu wanafunga magoli ya mashuti ya mbali kila siku.
Gap la Van Persie limeonekana ila wanahitaji Striker wanguvu. Eduardo kavuruga saana. Huwezi kuposses hivyo halafu unashindwa kuscore
 
hiki ki-walcott yeye akipata mpira kinawaza kukimbia tu bila akili yoyote hata ukimuekea mti mbele anaweza kujikwaa nao manake anakimbia tu hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom