Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Ndio kitu mlichobakia nacho kujifariji wana united!Jitahidi ufute ile historia ya goli 8
Ndio kitu mlichobakia nacho kujifariji wana united!Jitahidi ufute ile historia ya goli 8
Ndio kitu mlichobakia nacho kujifariji wana united!
niangalie nini sasa?kumbe inauma eeenh!na bado,aliyekupiga kwako tumemtia jambajamba kwake!
Moto umewaka huo na bila ya a.villa sasa hv historia ingejirudia,tungevunja rekodi yetu wenyewe ambayo kihande kama wewe hujawahi ota kuifikia maishani mwako msimu mzima bila kufungwa
Ndio kitu mlichobakia nacho kujifariji wana united!
Yes,thank him and the merry merry days are over!United tunajifariji na kujivunia kwa haya...nyiye je?!?
Wengine wote hao walienda huko ili waonekane nao ni miongoni mwa mabingwa na wao kama wao hawana lolote la kuifanya timu fulani ipate ubingwa kwani wangekuwa na uwezo huo wangefanya ivo wakiwa na Arsenal,ni sawa na wewe Nzi ujipange na wamasai 10 wenye masime na mishale wakamuua simba halafu ukatoka kifua mbele kwenda kwa mkeo kujidai eti nawe umeua simba!,at least Van Persie alienda Man U kuitumia vizuri influence ya babu fergie kwa marefa na FA kiujumla.
Arsenal wabovu sana. Wametangulia na baiskeli ya miti. United wanakuja kwenye nafasi yao very soon.
There is only one king of comebacks Manchester United
United ipi hiyo hii hii ya Moyes??
Nisaidie kuuliza, United hii Moyes anayosema haina wachezaji wa viwango?
......View attachment 115530....kuwatazama msivyojitambua!
Mashabiki wa manure wapo desperate kweli ... Hahaha
[TD="class: gig-button-td"]
|
10 |
Mashabiki wa manure wapo desperate kweli ... Hahaha