Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Boring thread...moving to Ac Milan vs. Juventus and Marseille vs. PSG
 
article-2443990-189072F500000578-685_634x454.jpg



The equaliser: Jack Wilshere celebrates
the goal that rescued Arsenal from defeat at West Brom



article-2443990-189065D400000578-861_634x463.jpg



Midfield battle: Arsenal's in-form Aaron Ramsey
vies for possession with Liam Ridgewell




article-2443990-1890384F00000578-606_634x423.jpg


Classy: Germany international Mesut Ozil
again impressed for the Gunners



article-2443990-18906A4F00000578-190_634x399.jpg



World-class: Jack Wilshere struck a quality equaliser
as the second-half progressed





article-2443990-18906E4000000578-124_634x466.jpg



Crucial: Olivier Giroud celebrates Wilshere's impressive equaliser





article-2443990-1890736E00000578-169_634x422.jpg


Stretching: Arsenal left-back Kieran Gibbs
attempts to stop the ball going out of play



article-2443990-1890638C00000578-756_634x396.jpg



Aerial battle: Arsenal's Laurent Koscielny
beats West Brom's Billy Jones to the ball
 
Chifu...hasira za nini?!? Huu ni mchezo tu...mnaweweseka na droo tu...mkifungwa nyiye si mtaanza habari za #WengerOut ..

Hatujazoea ndio maana, mechi tano mfululizo za ligi tunatoa kipondo, na usisahau ni hawa hawa jamaa walikufunza adabu tena Trafford. Ndio maana jiná lako Nzi, maana kazi ya Nzi inajulikana, na makazi yake chooni, unatafuta nini huku.
 
Hatujazoea ndio maana, mechi tano mfululizo za ligi tunatoa kipondo,

Hamjazoea miaka 8 ya kijela cha kombe hata Carling a.k.a Capital One!?!

Ndio maana jiná lako Nzi, maana kazi ya Nzi inajulikana, na makazi yake chooni, unatafuta nini huku.

Kwa sababu humu ni chooni..kwenye makazi ya inzi...
 
Anayejijua hayupo big 4 hapa aondoke,
kidogo yule mwenye sifa ya europe league tutamfikiria!
 
Hatujazoea ndio maana, mechi tano mfululizo za ligi tunatoa kipondo, na usisahau ni hawa hawa jamaa walikufunza adabu tena Trafford. Ndio maana jiná lako Nzi, maana kazi ya Nzi inajulikana, na makazi yake chooni, unatafuta nini huku.
Jamani,mwacheni nzi afurahie sie ku-draw na WBA,manake kila weekend akija uzi huu anakuta watu wanajiramba tu!Nowadays gunners kutoa draw ni sawa na kufungwa...kiungo chetu kinahitaji addition ya mtu dirty kama STEVEN NZONZI tena wa bei rahisi tu amini nawaambia!
 
Anayejijua hayupo big 4 hapa aondoke,
kidogo yule mwenye sifa ya europe league tutamfikiria!

Unafurahia kuwa big 4?!?

Angalia hapa wewe kiazi...

http://uk.teensdigest.com/articles/170?page=9
 
Jamani,mwacheni nzi afurahie sie ku-draw na WBA,manake kila weekend akija uzi huu anakuta watu wanajiramba tu!Nowadays gunners kutoa draw ni sawa na kufungwa...

Kila wikiendi?!? Mbona kuna international breaks nyingi tu katikati?

Unaweweseka na droo tu?!? Mkifungwa si mtakimbia hili jukwaa? Manake droo tu mnakuwa wapoleeee...

Back to being average squad with average strikers kama Giroud..mpaka mnamwingiza Bedtime aokoe jahazi?!?

kiungo chetu kinahitaji addition ya mtu dirty kama STEVEN NZONZI tena wa bei rahisi tu amini nawaambia!

What a revelation from a goon? I thought Nemo was enough! Now you want a dirty midfielder!!!

Only one game, Nemo is seen as not enough for Goons....

Mind the gap...it was 8 points, now it is 6 points...
 
Hehehe nkuu Nzi october ndio hii .. Utuambie tarehe
 
Last edited by a moderator:
nzi amekasirika leo kwanini hatukufungwa
Jana kumepikwa kwenu ingawa ni wali mweupe hebu rudi kule ukanong'one mafupa
 
Subirini mwezi may kama hamjaficha jezi zenu hua ni wepesi WA kusahau...arsenal yenu hii ubingwa bado mtauota miaka mingi ijayo.
 
uje huku kila siku kama mwenzako Nzi yeye hatoki huku tukishinda hata hongera hatowi yeye anasubiri siku tutakayofungwa
Subirini mwezi may kama hamjaficha jezi zenu hua ni wepesi WA kusahau...arsenal yenu hii ubingwa bado mtauota miaka mingi ijayo.
 
..... Nzi wacha kelele jumapili leo, kha?
Hebu nikawajulie hali kina Shedafa na team yao ya Spurs mie, naskia leo wamevishwa shanga za kiunoni!
 
Last edited by a moderator:
It was fantastic game and to be honest kwangu me Mulumbu was the best player of the match siyo siri alilishka dimba vizuri.
 
Unafurahia kuwa big 4?!?

Angalia hapa wewe kiazi...

http://uk.teensdigest.com/articles/170?page=9

niangalie nini sasa?kumbe inauma eeenh!na bado,aliyekupiga kwako tumemtia jambajamba kwake!
Moto umewaka huo na bila ya a.villa sasa hv historia ingejirudia,tungevunja rekodi yetu wenyewe ambayo kihande kama wewe hujawahi ota kuifikia maishani mwako msimu mzima bila kufungwa
 
niangalie nini sasa?kumbe inauma eeenh!na bado,aliyekupiga kwako tumemtia jambajamba kwake!
Moto umewaka huo na bila ya a.villa sasa hv historia ingejirudia,tungevunja rekodi yetu wenyewe ambayo kihande kama wewe hujawahi ota kuifikia maishani mwako msimu mzima bila kufungwa

Jitahidi ufute ile historia ya goli 8
 
Back
Top Bottom