Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

article-0-189CDE2300000578-561_634x783.jpg

Man of the moment -
Wenger arrives at the BFI Luminous Gala
event with wife
Annie

''Arsene Wenger swapped Arsenal's red training gear for a walk down the red carpet on Tuesday evening when he attended the British Film Institute's inaugural fundraising gala dinner.​
Fresh from being named the Premier League's manager of the month for the first time since February 2012, the Frenchman took time out of his busy schedule to join his wife Annie at the star-studded event in central London. Looking relaxed in a dapper dark suit, the former Monaco boss joined a host of well-known faces, including actress Sienna Miller and popstar Eliza Doolittle, at the event to celebrate British film.''
 
Hayo ni maneno tu ya kisiasa kwenye mpira (Football Politics) kocha anaweza kudanganya kuwa timu yake haifai na kuwaaminisha maadau hivyo kumbe tofauti

kwa hiyo wewe kwa akili yako matokeo yanayoendelea kwa Manure ni football politics?? Duuh watu wengine bhana kusoma hamjui hata picha hamuoni??
 
kwa hiyo wewe kwa akili yako matokeo yanayoendelea kwa Manure ni football politics?? Duuh watu wengine bhana kusoma hamjui hata picha hamuoni??

We nawe umetoka wapi soma context ya majibu uelewe usikurupuke kujibu kitu ambacho hujakielewa hapa nazungumzia msimu mzima siingali mechi sita na kutoa conclusion kama wewe unavyofanya
 
article-2458618-18BB7A8500000578-488_634x351.jpg

Welcome: Santi Cazorla, Robert Pires and Mikel Arteta
embrace some of the England setup

article-2458618-18BB928200000578-316_306x423.jpg

article-2458618-18BB9FD600000578-613_306x423.jpg

Reunions: Arsene Wenger caught up with David Seaman (top),
while Mikel Arteta shared a joke with former Everton team-mates
Leighton Baines and Phil Jagielka, who were training with England

article-2458618-18BB7C0100000578-476_634x369.jpg

Around: Arsene Wenger was training
with his players not on international duty

article-2458618-18BB7BFA00000578-595_634x385.jpg

Leading from the front: Wayne Rooney and Co
have been using Arsenal's base during the double-header

article-2458618-18BBCBFC00000578-339_634x358.jpg

Toffees stick together: Arteta was all smiles when he met up
with former Everton team-mates Leighton Baines and Phil Jagielka

article-2458618-18BB888A00000578-185_634x403.jpg

Looking ahead: England face Poland in a crucial World Cup
qualifier at Wembley on Tuesday

Dah! Tulivamiwa leo Colney na timu ya malkia ati wamekuja kufanya mazoezi ili kesho washinde pale Wembley ..... ... .. .... tumewapa baraka Zote ... .... .. oops wana bahati Wojciech Szczesny hayupo wangekiona cha ntema kuni.
 
International break imeisha weekend tuanze kusaka pointi za kuijiimarisha hapo juu........
 
Eti Mzee Wenger anasema msimu Huu watachukua ubingwa!
Kwa vigezo gani anatumia huyu mzee?
 
Kigezo ni kuongoza league mpaka sasa hiyo ni moja ya sababu tosha ya kuwaonyesha wapinzani wetu kuwa tunamaanisha kuwa msimu huu tuko serious na makombe
 
Kigezo ni kuongoza league mpaka sasa hiyo ni moja ya sababu tosha ya kuwaonyesha wapinzani wetu kuwa tunamaanisha kuwa msimu huu tuko serious na makombe

Kwani ni Mwaka Huu ndio mmepata nafasi ya kuongoza?
Hiyo ni kawaida yenu! Mtaanza kumlaumu babu yenu muda so mrefu!
 
Kwani ni Mwaka Huu ndio mmepata nafasi ya kuongoza?
Hiyo ni kawaida yenu! Mtaanza kumlaumu babu yenu muda so mrefu!

Tukubaliane ya kuwa premier league ya msimu huu ni ngumu kuliko za miaka iliyopita na kama umeangalia kinachompa wenger jeuri ni kumpata Flamini ambae anafanya kazi kubwa ya kuzuia mashambulizi ya maadui angalia timu zilivyojiimarisha kwenye vikosi vyao sema tatizo lao wanatakiwa kukaa kama mwaka kujuana vyema wakati arsenal wameingiza wachezaji kama wawili ambao hawahitaji muda kuzoeana hiyo nayo ni sababu kubwa kwa kuonekana bado tupo bora mpaka sasa
 
Kwani ni Mwaka Huu ndio mmepata nafasi ya kuongoza?
Hiyo ni kawaida yenu! Mtaanza kumlaumu babu yenu muda so mrefu!

tofaut na miaka mingine, haijawah tokea arsenal kuwa na matokeo mazur wakiwa na majeruhi weng first team kama mwaka huu
 
article-0-18D2940000000578-379_634x447.jpg

It's a German thing: Mertesacker and Ozil step out for Arsenal training

article-0-18D2930E00000578-625_634x472.jpg

Wenger putting his message across in Arsenal training

article-0-18D28BC100000578-832_306x423.jpg

article-0-18D2940900000578-312_306x423.jpg

Santi is smiling: Cazorla's raring to go
as he builds up his fitness ahead
of the Norwich game this weekend

article-2465875-18D2930200000578-25_634x513.jpg

I'm Bac . ....... Sagna has been declared fit
to play by Wenger and trained fully

article-2465875-18D2925E00000578-281_634x496.jpg

Bendtner was also with the group
as they were put through their paces

article-2465875-18D28CCC00000578-346_634x480.jpg

Sagna and Gibbs battle it out in training

article-2465875-18D297CF00000578-693_634x509.jpg

50/50: Bendtner and Mertesacker both go for the same ball

article-2465875-18D28CB700000578-425_634x535.jpg

I'm the man now...
Cazorla and Arsenal's man of the moment Ramsey

article-2465875-18D2940D00000578-691_634x729.jpg

After spending time with England,
Jack Wilshere is back with Arsenal unscathed

article-2465875-18D28BCE00000578-413_634x471.jpg

Get back here ... Mathieu Flamini chases down
a now fully fit Tomas Rosicky

Mambo ya Colney hayo kabla ya mtanange wa saa 9:00 BST kesho

Taratibu majeruhi wanarudi .... ..... .. .... lakini macho yote yanaangalia mtanange wa J4 CL na Borrusia Dortmund pale Emirates .... .... .

zp_184809563_SM_5186_0_9D1966C_4160.jpg

zp_184809563_SM_5140_B_9D1968C_9750.jpg

Safi sana COYG
 
tofaut na miaka mingine, haijawah tokea arsenal kuwa na matokeo mazur wakiwa na majeruhi weng first team kama mwaka huu

Haijafika ata mwisho wa December mnaanza kuota ubingwa!
Mnaota nyie! Kwanza hamjacheza na timu kubwa ata moja mkajipima kikosi chenu mnaanza kuota!
 
Tukubaliane ya kuwa premier league ya msimu huu ni ngumu kuliko za miaka iliyopita na kama umeangalia kinachompa wenger jeuri ni kumpata Flamini ambae anafanya kazi kubwa ya kuzuia mashambulizi ya maadui angalia timu zilivyojiimarisha kwenye vikosi vyao sema tatizo lao wanatakiwa kukaa kama mwaka kujuana vyema wakati arsenal wameingiza wachezaji kama wawili ambao hawahitaji muda kuzoeana hiyo nayo ni sababu kubwa kwa kuonekana bado tupo bora mpaka sasa

Kua na Flamini tu haitoshi kusema kikosi kikosawa na Pia wewe mwenyewe unasema ligi ngumu inakuaje muanze kuota ubingwa kwa kuongoza ligi kwa muda mfupi hivi?
 
Kua na Flamini tu haitoshi kusema kikosi kikosawa na Pia wewe mwenyewe unasema ligi ngumu inakuaje muanze kuota ubingwa kwa kuongoza ligi kwa muda mfupi hivi?

Ni kweli kuwa Flamini hawezi kusaidia peke yake bali majeruhi wakipona wote arsenal itakuwa ipo vizuri kiasi cha kusema tunagombea Premier League kwa msimu huu
 
Back
Top Bottom