Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Line up:
Szczesny
Sagna – Mertesacker – Koscielny – Gibbs
Flamini – Wilshere
Gnabry – Özil – Rosicky
Giroud

I've changed the team up a bit to account for the fact that Ramsey will most likely be very tired after a constant run of games and that although Cazorla is fit enough for the squad, he may not be fit enough to start the game. I can see us winning with this team but it will be tight. But it's good to know that we can bring on Cazorla and Ramsey if we are producing a lacklustre display.
I think we'll win this one 2 – 0 but I don't think it will be as comfortable as the score-line shows.
 
.... Nzi hajaonekana humu mpaka mida hii?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kuwa Flamini hawezi kusaidia peke yake bali majeruhi wakipona wote arsenal itakuwa ipo vizuri kiasi cha kusema tunagombea Premier League kwa msimu huu

Wakati nyie mkiwa mnasubiri majeruhi wenu wapone timu zingine zitakua zimelala? Mfano Kama Chelsea na Man city na Liverpool na Man utd?
Subirini December ndio muanze kutoa hizo hoja lakini sasaiv ata timu moja ya top4 hamjacheza nayo mkapima uwezo wa kikosi chenu mnaanza kulewa kwa kuongoza ligi?
 
Mi naona Arsenal has to bit etlist two big teams EPL in away ground ndipo tuanze ngonjera za ubingwa!!
 
Wakati nyie mkiwa mnasubiri majeruhi wenu wapone timu zingine zitakua zimelala? Mfano Kama Chelsea na Man city na Liverpool na Man utd?
Subirini December ndio muanze kutoa hizo hoja lakini sasaiv ata timu moja ya top4 hamjacheza nayo mkapima uwezo wa kikosi chenu mnaanza kulewa kwa kuongoza ligi?
Unamaanisha top 4 wanaofungwa na WBA at their home play ground?
 
Unamaanisha top 4 wanaofungwa na WBA at their home play ground?

Hawa watoto WBA wamekaa vizuri mzee...sio wakuwabeza kabisa, mechi ya mwisho almanusura tuaibike kule..!! Wapo vizuri hawa
 
#Arsenal team to play Norwich: Szczesny, Sagna, Koscielny, Mertesacker, Gibbs, Wilshere, Flamini, Arteta, Ozil, Cazorla, Giroud

Subs: Fabianski, Monreal, Vermaelen, Jenkinson, Rosicky, Ramsey, Bendtner

What do you think of the team the boss has picked?
 
LIverpool wamepoteza pointi 2, nafasi yetu kurudi kileleni kwa pointi 2, Carzola na Ozil kati. Time to enjoy the show. #COYG .
 
Mpaka dakika hii ni dakika 15 zimekwenda bado bila bila Norwich wanadifendi too deep, mpaka muda huu hakuna shambulizi la hatari, Carzola anaelewana vizuri na Ozil. Supply kwa Giroud mbovu Sagna na Gibbs krosi zao hazifiki kwa walengwa.
 
Back
Top Bottom