Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Morrison, zao la Man United, akifanya kazi vizuri...

Lazima umkubali maana aliwakwangua kama kimburu mwizi tena pale pale
Old Trashford.. . .... .... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Refa kabeba kibahasha chake huyooooo anaenda kuchuma mboga za majani
 
Top class football by West Brom to end Goons' winning streak...
 
Refa kabeba kibahasha chake huyooooo anaenda kuchuma mboga za majani
 
Leo Nemo alikuwa anautafuta kwa Mulumbu...Mulumbu funika bovu kiungo ya Goons..
 
Mbona kimya humu...

Mbu BAK Viper

Hajazoea matokeo kama haya hadi leo? Aka nane ya kijela cha kombe?!?
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe jamaa kule kwenye thread yenu hakuna vitu vya kujadili, maana kutwa umo humu.

Hakuna cha kujadili arifu...njoo uanzishe mijadala...

Mjadala wa Jackline Wheelchair, the smoker ni noma sasa hivi...
 
Back
Top Bottom