Sasa hivi watu wamechoka, mashabiki hawatakubali tena kusubiri mpaka February ndio timu ianze kupigania nafasi ya nne. Kama uliwaona vizuri kwenye mechi ya Villa watu hawakuwa na subira mpaka dakika 90 ndipo waoneshe hasira zao. Kuna mawili, wapoteze support ya mashabiki wakiendelea na ujinga au wasajili vizuri na waache porojo. Watu waliaminishwa huu ndio msimu tutakuwa na nguvu financially na tutasajili mapema ili kujiimarisha kwahiyo patience ilizidi kupungua jinsi siku za msimu kuanza zilivyokaribia. Jana Wenger amehojiwa na Daily Mirror akasema mashabiki wapunguze negativity itawaathiri wachezaji na kutuharibia msimu lakini negativity kaileta mwenyewe kwa ukaidi wake. Sio rocket science kwamba kuanza msimu na wachezaji 15 wa kikosi cha wakubwa walio fit ni risk kubwa sana. Na wala haijachukua mechi nyingi kuonesha tuna management mbovu mno. Kwahiyo ni chaguo lake, kusuka au kunyoa lakini mashabiki hawana subira tena.
cc tunakereka sn tulio mbali natamani wale walio uiengereza wangesusa hata km wameshakata tiketi mechi 2 tu wangetishikaSasa hivi watu wamechoka, mashabiki hawatakubali tena kusubiri mpaka February ndio timu ianze kupigania nafasi ya nne. Kama uliwaona vizuri kwenye mechi ya Villa watu hawakuwa na subira mpaka dakika 90 ndipo waoneshe hasira zao. Kuna mawili, wapoteze support ya mashabiki wakiendelea na ujinga au wasajili vizuri na waache porojo. Watu waliaminishwa huu ndio msimu tutakuwa na nguvu financially na tutasajili mapema ili kujiimarisha kwahiyo patience ilizidi kupungua jinsi siku za msimu kuanza zilivyokaribia. Jana Wenger amehojiwa na Daily Mirror akasema mashabiki wapunguze negativity itawaathiri wachezaji na kutuharibia msimu lakini negativity kaileta mwenyewe kwa ukaidi wake. Sio rocket science kwamba kuanza msimu na wachezaji 15 wa kikosi cha wakubwa walio fit ni risk kubwa sana. Na wala haijachukua mechi nyingi kuonesha tuna management mbovu mno. Kwahiyo ni chaguo lake, kusuka au kunyoa lakini mashabiki hawana subira tena.
cc tunakereka sn tulio mbali natamani wale walio uiengereza wangesusa hata km wameshakata tiketi mechi 2 tu wangetishika
Watu wachache walinielewa humu, wengi waliona niko negative sana. Tumesahau mapema sana kuwa tungefungwa na Newcastle tusingekuwa kwenye CL qualifiers hilo pekee linaonesha kikosi ni dhaifu na kinahitaji wachezaji world class watatu au zaidi. Lakini tuna kocha ambaye anataka kutuaminisha kuwa kikosi kilichoingia CL qualifiers kwa HATI HATI kitabeba ubingwa msimu huu. Alas! Look where we are. Tunapigwa nyumbani na Aston Villa. Laumu refa, sawa. Lakini refa hakuwa anazuia wachezaji wetu kufunga. Haya ni matokeo ya kuwa na kikosi dhaifu. Una benchi lenye beki mmoja tu alafu useme unataka kubeba kombe?
Baada ya hapa, baada ya kujifanya wachezaji tunaotaka kuwanunua wako overpriced na sisi kung'ang'ania valuation zetu as if market inatungoja sisi, tunajikuta katika wakati ambapo tuko desperate kununua wakati we had all the time in the world. Huu ndo wakati tutapandishiwa bei zaidi kwa kuwa kila mtu anajua how desperate we are. Huu ndio wakati wa kununua magarasa kama yale tuliyofanyia jitihada kubwa kuyaondoa. Hii inaonesha ni jinsi gani Van Persie (and it hurts me to say this) alivyokuwa sawa kutoa statement na kusema anataka kuondoka kwa kuwa wanatofautiana direction na management. Yeye anataka makombe sisi 'just top four will do'. I apologize for thinking he is a c*nt before. **Unajua ni kiasi gani inauma kufungwa na Aston Villa na kisha kumuona Van Persie (aliyetoka kupiga goli mbili za ushindi kwenye ngao ya hisani) akiifungia Man United magoli mawili maridadi?**
On the other hand, this is not the Wenger I fell in love with. He is deluded. And as much as I think he is a great coach, he does not help himself. Wenger keeps saying hakuna "top top quality" players out there. So Higuain hakuwa "top top quality" lakini Sanogo ni "top top quality" si ndio? Madhara ya kukataa kutoa 30m pounds kumnunua Higuain tunayaona.. Leo kuna tetesi za kumtaka Michu. Unadhani atauzwa chini ya 25m? Na kuna tetesi release clause yake ni 30m?
I am really tired of this. And I do not care if this will pan out and we start doing well. Wenger has lost the hunger to win big. He is more concerned about developing his youngsters than helping Arsenal win trophies. I just think you chose your own fate. You make your own luck. We do not have to go through the same rubbish year after year. This is mismanagement of the Arsenal football club and there is no one else to blame than the board and Wenger who have allowed us to be mediocre and a laughing stock.
I feel sorry for the players who try the best to help the team ila uwezo wao unapoishia wanahitaji wachezaji wenye exceptional quality kuweza kuwafikisha level nyingine kama timu. This is why wachezaji wamekuwa wakiondoka year after year. Mwaka huu, kama tutaendelea hivi bila kusign wachezaji wa maana, tukatoka kapa, naomba niseme mapema kuwa nitawasupport wachezaji wote watakaotaka kuihama timu kwa kuwa hatuko ambitious enough. And one of the atakuwa Koscielny ambaye alishaweka wazi, "Sorround me with Champions or I'm off"!
Nataka kusupport timu yangu kwenye ups and downs lakini sio kwa mtindo huu wa kujitengenezea matatizo wenyewe. I used to be very positive about my team and the gaffer but I have had enough and I am not the only one here are others.
IMO...This is too little too late
Arsenal step up chase for Yohan Cabaye as panic sets in at the Emirates
Gunners to increase offer for France midfielder
Oxlade-Chamberlain may be out until the new year
- The Guardian, Monday 19 August 2013 23.50 BST
![]()
Yohan Cabaye was left out of Newcastle's team at Manchester City on Monday and may well be heading to Arsenal. Photograph: Owen Humphreys/PA
Arsenal will return to Newcastle United with an improved offer for the France midfielder Yohan Cabaye as desperation sets into their attempts to strengthen the squad and with the club fearful they have lost Alex Oxlade-Chamberlain to a knee injury until the turn of the year.
An opening bid for Cabaye of around £10m was rejected by Newcastle, who described the offer as "derisory", though there is an acceptance that the 27-year-old may well leave St James' Park before the close of the transfer window on 2 September having grown unsettled at the club. He was omitted from the team for defeat at Manchester City and the Newcastle owner, Mike Ashley, while still a reluctant seller, will seek nearer £20m for a player who joined from Lille two years ago; he would hope Arsenal's bid sparks an auction for his services.
Arsenal step up chase for Yohan Cabaye as panic sets in at the Emirates | Football | The Guardian
Huyu La profesa mbahili ndio kaibukia huku sasa duuuu!! This is an act of desperation!
Desperate times..........................................desperate measures!
Mkuu, mimi nakuelewa sana maelezo yako na uko sahihi 100%
Wenger kwa sasa hana watu wazuri kwenye kufanya makubaliano na mchezaji wanaetaka kusajili, na hii ipo wazi tokea David Dein aondoke baada ya kuondolewa na bodi.
Wanakosa "Personality" ya kufanya mazungumzo na mpaka sasa Gazidis na timu yake wamefeli.
Jambo lingine ni kwamba Wenger na watu wake wanapofanya valuation ya mchezaji husika wanakuwa hawako sawa kwani soko sasa hivi linalotawaliwa na mawakala kibao wenye nguvu linaweka dau kubwa.
Ukiangalia thamani ya Higuain sio £23 milioni bali ilikuwa ni £34milioni na Napoli wakaja na hio wakamsajili, Jovetic nae wakaweka £20 lakini Man City wakaja na zaidi ya £27 milioni wakamsajili.
Mchana huu wamejaribu kuweka £12 milioni kwa Yohan Cabaye huku wajifahamu kwamba kiasi hicho ni kidogo na Newcastle wamekataa hii inakuwa kama mchezo fulani vile?
Pia wanataka kuwapa £35 milioni kwa wachezaji Michu na Ashley Williams na hio ni £25 kwa michu na 10 kwa Williams lakini huenda Swansea wakakataa valuation hiyo kwa kutaka pesa zaidi yaani £15milioni kwa Williams na £27milioni kwa Michu.
Ni soko kwa sasa ambalo limebadilika na kama Wenger na timu yake hawako makini na kufanya valuation za wachezaji basi wataambulia patupu ikifika tarehe 2 September.
Wapenzi tayari tumempa tumeandika barua kwa bodi na wameisoma na mambo mengine yameongelewa hata na Lady Nina Bracewell-Smith kwenye Tweeter (wamefuta entry hiyo), nae ameeleza kwamba anajuta kumuuzia hisa Stan Kroenke ambae anaona (Lady Smith )kwamba ni afadhali David Dein arudi kwenye bodi ya wakurugenzi ambayo kwa kweli inehitaji kuchanganya watu wa aina mbalimbali.
Mechi ya Jumamosi haikuwa ni mechi ya kuipoteza ukizingatia kwamba tulikuwa tunaongoza kwa goli moja.
it seems vijana wako poa its too earl tp givup lets wait and see,: gunners 4 life
.....the Ox out miezi sita.... 🙁
Kwa Arsenal na setbacks zilivyo, huyu ndio mpaka May mwakani...
The season (and world cup dreams) are over for him!
Babu Wenger as long as 4th spot ni between us and Spurs, hana presha kiviiiile....
Kombe keshawakabidhi "top three!" Waligombee.
....huyu mzee ni akili zake au board ndio inamuongoza? maana hata tuchonge sanaaaa, at the end of a day Bank account yake inaingiza £7.5m a year!
Tungepata "ruthless" owner, akili ingemkaa sawa.
Howard webb appointed for fulham vs arsenal game. Meanwhile, Anthony Taylor dropped this week, the mug cost us 3 points and koscielny .,
Huyu La profesa mbahili ndio kaibukia huku sasa duuuu!! This is an act of desperation!
Desperate times..........................................desperate measures!