Gustavo Arsenal imeripotiwa walitoa £14mil badala ya £17mil ila wolfburg wamemchukua kwa £12mil hapa kuna jambo moja! GUSTAVO anataka acheze week and week out atengeneze mazingira ya Brazil mwakani we imagine amekwenda timu isiyocheza CL ari mradi tu apate uhakika wa kucheza
Arteta kama DM na vice captain,Ramsey,Rosick,Santi hawawezi kukaa benchi kama wako Fit kwenye kikosi cha Wenger...ukisema Arteta si kiungo mkabaji mzuri sitokubali kwani Modern football hata Quick passer,good tackler,good vision+work rate anacheza tena vizuri tu mifano ni mingi Carrick baada ya RVP alikuwa ni player of the season, pirlo kule juve na italy ndo DM kwenye 3-5-2 formation...imagine Bosquests kumpigisha benchi Mascherano pale kati...mambo yamebadilika sana hata ukitazama wakati Song anacheza kama DM tulifungwa magoli 49 kwenye EPL lakini alipokaa Arteta tumefungwa magoli 37 tu...
GUSTAVO alitakiwa aje kuwa cover na ku expand squad depth ndio maana alikataa