Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Hao vimwana wana haki ya kumpamba Le profesa. Si unaona vinana wake wanavyojituma? 2-0 na bado twasonga
Sasa, hakuna shida enh?!? Timu imekamilika, hakuna haja ya kusajili wala nini! Yaani mnawapiga Fenerbahce 3 mtungi kwao?!?
Hili chama lipo kamili. Na profesa kweli ni noma...