Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Prof haendi kokote, msimu ndio kwanza tumecheza mechi moja wanoko na magazeti ya udaku ambao wamepewa mpunga na yule mrusi mjinga wanafikiri wanaweza kuwatetemesha Gunners.Kronke keshasema hamuuzii share zake yeye aendelee huko pembeni kujenga kambi lakini the programmme of Prof ipo pale pale. Msione wengi maneno mengi ni fitna pamoja na wivu.

Wote hawa kina
Chelsick peas of ants pamoja na ma-sugar daddy wao wanafikiri tutaweweseka, mechi tumepoteza moja out of 38 what is the big deal? Its a marathon. mambo yote kesho kule kwenye kuwania CL si mnachubiri tufungwe mpige tarumbeta karibuni. Hii inaonyesha jinsi tunavyoweka agenda mtashangaa wenyewe time will tell.

Wenzako wanacholalamika mmefungwa na Aston Villa ambayo ilinusurika kushuka daraja msimu uliopita Mmefungwa uwanja wa nyumbani na timu imecheza vibaya na hakuna matumaini.Wachezaji wengi ni majeruhi na Wenger hana habari ya kufanya usajili,wapinzani wenu Totenham,Liverpool wamefanya usajili mzuri na timu zao zinaonyesha matumaini. Unategemea nini ukija kukutana na Chelsea,Spurs,Manu au ManCity?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
......game ijayo Man U wakipoteza utaskia mashabiki wao wanaitaka shingo ya Moyes!

Mourinho kasema sawasawa, ligi haitabiriki...yeyote aweza adhiriwa next game....so far anakwambia kuna 6 contenders wa EPL title!

.....Arsenal tunahitaji addition angalau wachezaji watatu wapya....

Wale madogo Gnabry, Akpom na Ensfield pamoja na Ryo Miyaichi watatufaa kwenye FA na Capital One tournents
Nyie kila msimu huwa mnahitaji wachezaji 3 wapya,Wenger amejitahidi kupunguza magarasa karibia 20(Gervinyo,Arshavin,Santos,Denilson et al) nikafikiri atafanya usajili wa maana kumbe yaleyale
 
Mkuu Wacha1, nimesoma either BBC or The Guardian kwamba jamaa alitwitt kwamba atakuwa out for at least 3 months.

Ni wiki sita tu mkuu kutokana na habari rasmi kutoka kwa Gunners ....miezi sita majungu ya wanoko . ...
 
Last edited by a moderator:
dd.jpg
Nipo tayari kwa mchezo wa leo na Fernabahce.
 
Wenger ni mwehu anatukosesha amani miaka yote hii.
Tangu nipo form hadi leo nmegraduate
 
league ina match 38! It was a wake up cal game ya aston v! What we real nid ni leader on the pitch, like we used to hav tony adams, viera keown etc! I stil trust the proffeseri! Msimu wetu wetu huu! Gunners' forever!
 
Dk ya 35 fen 0-0 ars
Arsenal wanacheza kawaida sana
 
Hapa tunahitaji creative players. Tumekosa mtu wa kumconect Giroud. Carzola na Wilsher bado kabisa!
 
Hapa tunahitaji creative players. Tumekosa mtu wa kumconect Giroud. Carzola na Wilsher bado kabisa!

Nyie mnaumiza kichwa pulofesa Chenga anakula bata na vimwana....
 

Attachments

  • 4735f0888a2af5500bbc47b52da7792d.jpg
    4735f0888a2af5500bbc47b52da7792d.jpg
    75.8 KB · Views: 63
Nyie mnaumiza kichwa pulofesa Chenga anakula bata na vimwana....

Hao vimwana wana haki ya kumpamba Le profesa. Si unaona vinana wake wanavyojituma? 2-0 na bado twasonga
 
Arsenal Bado wanahitaji kiungo mkabaji mwenye nguvu..Wapo exposed sana wanaposhambuliwa..Kule mbele Giroud sio msumbufu kabisa anatakiwa awe second choice...Beki wa kati ni tatizo Sagna sio soln....Babu alete top players wa kuwaongoza vijana
 
Back
Top Bottom