Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
Unatamani Arsenal isifanye usajili wa maana lakini mwaka huu dua zako zimekwama!
Subirini vipi go watani
Unatamani Arsenal isifanye usajili wa maana lakini mwaka huu dua zako zimekwama!
..The France international suffered knee ligament damage in March and is expected to be sidelined until Christmas.
Wakuu Gunners naona Real Madrid wanatusumbua sana, nadhani wanasikiliza maneno ya wale haters wetu. Lakinisi muda si mrefu tutaongeza pesa na inaweza kufikia milioni 26 mradi tunampata Gonzalo Higuain.
Sasa ratiba ya Emirates Cup imetoka na kutakuwa na timu za Napoli ya Italy, Porto ya Portugal na Galatasaray ya Turkey na mashindano hayo yatafanyika kati ya terehe 3 na 4 mwezi August.
Pamoja na wenyeji Arsenal mechi zote zitachezwa kwenye uwanja wa Emirates jijini London.
Galatasaray watacheza na FC Porto saa 14.00 Jumamosi August 3 na baadae Arsenal itacheza na Napoli saa 16.20 UK time
Jumapili tarehe 4 saa 1400 Napoli watacheza na FC Porto na Arsenal watapambana na Galatasaray saa 16.20 .
Karibuni Emirates.
COYG
......
Father Christmas wetu 2013, Vassiriki Abou Diaby. Huyu jamaa huyu....
Ana zali kweli na Arsene Wenger aisee. 2014 ndio mwisho wa mkataba wake, sio ajabu akapewa na mkataba mpya...
Wakuu Gunners naona Real Madrid wanatusumbua sana, nadhani wanasikiliza maneno ya wale haters wetu. Lakinisi muda si mrefu tutaongeza pesa na inaweza kufikia milioni 26 mradi tunampata Gonzalo Higuain.
Sasa ratiba ya Emirates Cup imetoka na kutakuwa na timu za Napoli ya Italy, Porto ya Portugal na Galatasaray ya Turkey na mashindano hayo yatafanyika kati ya terehe 3 na 4 mwezi August.
Pamoja na wenyeji Arsenal mechi zote zitachezwa kwenye uwanja wa Emirates jijini London.
Galatasaray watacheza na FC Porto saa 14.00 Jumamosi August 3 na baadae Arsenal itacheza na Napoli saa 16.20 UK time
Jumapili tarehe 4 saa 1400 Napoli watacheza na FC Porto na Arsenal watapambana na Galatasaray saa 16.20 .
Karibuni Emirates.
COYG
Mwaka wetu huuuuuu...
Mbona unapinga, #wewe ndio man6 sio?kwa misimu mingapi sasa mmesema maneno haya???I GUESS 8 SEASONS......all the best.