Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Vijana wakiongozwa na Prof wametua Japan. Hapa ndipo mazoezi rasmi yanapoanza kwa EPL, tunategemea mambo mazuri mwaka huu kila mchezaji yupo fit na summer of clearance itaisha karibuni na Prof amesisitiza kusajili wachezaji kama wawili watatu mashuhuri. Wote wanaowewesekaweweseka wajiandae kwani kila chenye ncha hakikosi makali.
BTW pics baadaye namfuatilia hapa Mr. Woods kwenye British Open.
BTW pics baadaye namfuatilia hapa Mr. Woods kwenye British Open.