Yaan cku 2kichukua UCL, cjui nitasherekeaje!
Huu ni ushahidi kwamba Gonzalo Higuain alikuwepo London leo....
![]()
![]()
Hapa akisaini kwa shabiki wa Arsenali akiwa Heathrow.....
COYG
Mtambo wa mabao waingia Emitates.......
dont count ur chicks......
Sasa Fellain Arsena Wa nini? Huyu Wenger naye anazeeka vibaya kwani Arsenal ina tatizo la Kiungo? Issue ni Forward na beki wa kati
Kaka umewahi kuwa manager? Hivi unajua kuwa Arteta ni DM wa kuunga unga sio natural position yake? Ili timu ipate matokeo ni lazima iwe na STRONG midfield alafu ndo department zingine zafuata...toka ameondoka Vieira mwaka 2005 Arsenal haijawahi kumpata mbadala wake pale na uliona msimu uliofuatia 2006 Arsenal walikwenda mpaka kuwa wa 4 kutoka wa 2 msimu wa nyuma yake! Kama Watamchukua FELLAINI hapo midfield itakuwa kama jiwe yani imekamilika
wacha1-24th June 2012 19:16 said:Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeee hapo ndipo unapofahamu unafiki wa Invisible na kundi lake la Mungiki brothers, chacha ushindi wa chelsiki kwa kutumia rupia unahusiana nini na Gunners? At least they know who is the boss in London baada ya kukung'utwa kama gunia kwa magoli matano kwenye cowshed yao. Ingekuwa Wacha1 wangemfungia lakini kwa sababu they are one and the same thats ok. Don't worry boys we are the Gunners na kila siku mnapofungua hii thread mnaumia mpaka kwenye mfupa I know how you feel insecurity.
Viva Gunners forever and then the season is around the corner ... ... watch this space .... ....
Kaka unachozungumza ni kweli lakini naona Ramsey anajitahidi sana kwenye ile position kuliko Arteta,Arteta ni mzuri sana kwenye attacking Midfielder kuliko defending midfielder shida yangu ni kuwa Wenger haweza kununua wachezaji wengi wa bei kubwa sasa badala ya kumnunua Fellain ni bora hizo hela amchukue Higuani na Rooney na Pengine Ashley Williams pale kati hali sio mbaya sana kama mbele na hapo nyuma katikati Varmelean haaminiki tena kivile kiwango chake kimeshuka sana pale kati ni bora tukaendelea kuwatumia Ramsey na Arteta hizo hela anunue forwards za ukweli,By the Way Alex Song alijitahidi sana kuziba Pengo la Viera sijui kwanini Wenger alikorofishana naye akaamua kumuuza ila Pengo la Song ni kubwa sana kuliko la Van Persie na Fabregas
song was never a good DM though alitoa assist nyingi kwa RVP...Fellaini ni Versatile anaweza DM,AMD,second striker...alafu Rooney si mchezaji wa kununua ni mvuluga kambi yule bora atimkie RM ataleta Saga nyingi na utoto wake!
Rvp lilikuwa pengo ndo maana anasakwa prolific goal scorer kama yeye
Fellaini in bag?
he is speculated to join Arsenal although there is a spanish young DM currently playing at 3rd placed La liga team Real Sociedad called Irralamendi he is 21 year-old but very dirty in midfield, he is also linked if Fellain's deal will hit the rock as we all know the rumuors of Golalons of Lyon have cooled down...let's wait and see
he is speculated to join Arsenal although there is a spanish young DM currently playing at 3rd placed La liga team Real Sociedad called Irralamendi he is 21 year-old but very dirty in midfield, he is also linked if Fellain's deal will hit the rock as we all know the rumuors of Golalons of Lyon have cooled down...let's wait and see
Mshawasifia wengi sana laini mlipowasajili wakawa magalasa
hi hater!! higuain nasikia soon atakuwa officially emirates
Wakuu mambo vipi naona kila kona kuna browsing maana Arsenal wamefunga midomo kwa sasa.
Mpaka sasa ni wachezaji watatu ambao kama ikithibitishwa kuanzia jumatatu, basi watachezea Arsenal msimu ujao.
Wachezaji hao ni Higuain, Fellaini na Julio Cesar ukiondoa Yaya Sanogo ambae inajulikana pia atathibitishwa wiki ijayo.
Ikiwa itakuwa hivyo basi naweza the most likely line-up ya msimu ujao kwenye ligi na kwenye CL;
Szczesny au Cheza
Merts Kos
Jenkinson Gibbs
Fellaini
Jack
Theo Santi
Rooney
Wachezaji wa akiba :Cesar, Verms, Sagna, Monreal, The Ox, Arteta, Pods, Giroud.
Higuain au Higgy
Wayne Rooney nimemuweka tu kama ikilazimu maana pesa ipo.
Wakuu, this will be a proper Arsenal team.