Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Utabadilisha sana hicho kikosi kwa kusikiliza na kuamini habari za udaku na tetesi
Wewe endelea kunukuu na kutoa maoni, halafu mkuu wewe ni Gunners au?
Utabadilisha sana hicho kikosi kwa kusikiliza na kuamini habari za udaku na tetesi
he is speculated to join Arsenal although there is a spanish young DM currently playing at 3rd placed La liga team Real Sociedad called Irralamendi he is 21 year-old but very dirty in midfield, he is also linked if Fellain's deal will hit the rock as we all know the rumuors of Golalons of Lyon have cooled down...let's wait and see
Wakuu mambo vipi naona kila kona kuna browsing maana Arsenal wamefunga midomo kwa sasa.
Mpaka sasa ni wachezaji watatu ambao kama ikithibitishwa kuanzia jumatatu, basi watachezea Arsenal msimu ujao.
Wachezaji hao ni Higuain, Fellaini na Julio Cesar ukiondoa Yaya Sanogo ambae inajulikana pia atathibitishwa wiki ijayo.
Ikiwa itakuwa hivyo basi naweza the most likely line-up ya msimu ujao kwenye ligi na kwenye CL;
Szczesny au ChezaWachezaji wa akiba :Cesar, Verms, Sagna, Monreal, The Ox, Arteta, Pods, Giroud.
Merts Kos
Jenkinson Gibbs
Fellaini
Jack
Theo Santi
Rooney
Higuain au Higgy
Wayne Rooney nimemuweka tu kama ikilazimu maana pesa ipo.
Wakuu, this will be a proper Arsenal team.
Pre season imeanza, Sanogo in. I hope a stellar signing is on the way before we go on tour :becky:
Mkuu eleza vizuri ili tupate elewa, ina maana ni confirmed?
Huna anyeuzika kati ya waliobaki.
Wakuu, baada ya pilikapilika za hapa na pale na mazungumzo ya muda mrefu mchezaji Gonzalo Higuain ameweka saini kwenye mkataba na Arsenal FC na atakuwa akilipwa paundi 130,000 kwa wili pamoja na "adds on" kama matumizi ya jina na mengine kufikia paundio 150,000 kwa wiki.
![]()
Higuain anavunja rekodi ya usajili uliofanywa kwa Andrey Arshavin mwaka 2008 ambao uligharimu kiasi cha paundi milioni 15.
Arsenal inaweza kutangaza mchezaji huyo siku ya Ijumaa au Jumatatu na anakuwa ni mchezaji wa pili kusajiliwa msimu huu baada ya Yaya Sanogo ambae anatoka Auxerre ya France.
Muda wa usajili ukiwa ndio unapamba moto bado inasemwa kwama Arsene Wenger anafikiria kumsajili Wayne Rooney wa Man Utd au Luis Nani pia wa Man Utd na pia Marouane Fellaini bado anazungumzwa.
Arsenal ina kiasi cha paundi 100 milioni za kutumia kwenye usajili wa sasa na January 2014 kama ikibidi na hiyo ni majumuisho ya milioni 70 zilizoko benki na milioni 30 ambazo zimetokana na kuondoa wachezaji wasiotakiwa kama Arshavin na Squillaci.
Maskauti wa Arsenal wamekuwa na muda mgumu katika soko la wachezaji huku kukiwa na taarifa kwamba mfumo wa kutambua vipaji unaofanywa kwenye mtandao maalum wa OPTA INDEx kuingiliwa na "hackers" ambao wamekuwa wakivumisha habari za usajili ziizo za kweli.
This is it na huu ndio usajili wa maana tuliotaka na inaonyesha jinsi miaka 8 ya bila kikombe ilivyokuwa ikiandaliwa.
Anaefuata ni Cesc Fabregas au Marouane Fellaini.
COYG.
Update:
Mchezaji wa nafasi ya ushambuliaji Yaya Sanogo kutoka timu ya Auxerre nchini Ufaransa leo hii amekamilisha taratibu za kujiunga na Arsenal na amefanyiwa uchunguzi wa afya yake kwenye kituo cha mazoezi cha London Colney kaskazini mwa London.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 anatarajiwa kutangazwa mwishoni mwa mwezi Juni atakapomaliza mkataba wake rasmi na Auxerre.
Mchezaji huyo anachezea timu ya taifa ya Ufaransa ya vijana wa umri chini ya miaka 21 na ni mchezaji wa tatu kutoka kwenye timu hiyo ya Auxerre ambayo inashiriki ligi ya pili ya nchi hiyo. Abu Diaby na Bacary Sagna pia walitokea kwenye timu hiyo walipojiunga na Arsenal ni uwezo wake wa kumiliki mpira, mwendo na uwezo wa kiufundi ndivyo vilivyowavutia Arsenal.
![]()
Yaya Sanogo
Huu utakuwa ni usajili wa kwanza kwa msimu wa 2013/14 kwa kutumia pesa kidogo iliyotokana na mauzo ya Cesc Fabregas na Alex Song na bado jumla ya kitita halisi cha zaidi ya paundi milioni 100 zinazotarajiwa kutumiwa kusajili wachezaji zaidi hakijatolewa kwa meneja Arsene Wenger.
Karibu Arsenal Yaya Sanogo.
COYG!
Salama mkuu?CC: Ulimakafu, Kuntakinte.
Salama mkuu?
Na hii ya Luis Suarez kutakiwa na Arsenal imekaaje?
Hii inawezekana tatizo Suarez tayari ana matatizo ya nidhamu.
Lakini lolote linaweza kutokea ingawa leo kwenye mazoezi ambayo vijana wameanza, Marouane Shamakh ameonekana hivyo amerudi na inaonyesha Wenger bado ana mipango nae.
Tumebakiza wachezaji wawili lakini wa muhimu ni Higuain na Fellaini na kama sio Fellaini basi Lars Bender.
Washambuliaji tutakuwa nao ukijumlisha huyu Higuain na Sanogo nafikiri ameajiliwa kusaidia kampeni za Carling Cup na FA Cup sio sana kwenye ligi kuu.
Tupo mkuu naona mzee Wenger safari hii anataka timu hasa.
Nimeweka hapo juu wachezaji ambao mpaka leo hii wataondoka akiwemo Francis Coquelin na Ryo Miyaichi ambae atakwenda Feneyoord kwa mkopo.
Coqueilin ana matatizo ya experience na Wenger anataka akacheze mechi nyingi zitakazomfanya awe ngangali uwanjani na kuleta imani kwamba anaweza kucheza vizuri kwenye midfield.
Ryo Miyaichi ana tatizo moja kubwa kwamba hapati work permit kwa sababu hajacheza sana mechi za kimataifa chini kwake, hivyo kumfanya asitimize masharti ya kucheza mechi za kimataifa kwa asilimia 75.
Lakini akienda tena Feneyoord na akacheza hadi mwakani atahesabika kama home grown player kwa sheria za FIFA na ataweza kupata work permit akiwa na umri wa miaka 21.
Ila kwa kweli mzee Wenger amefanya clearence ya hali ya juu.
ARSENAL INS AND OUTS.
INS- Yaya Sanogo
Outs- Craig Eastmond (Colchester, free), Jordan Wynter (Bristol City, free), Andrey Arshavin (Zenit, free), Sanchez Watt
(Colchester, free), Sebastien Squillaci, Denilson, Conor Henderson, Jernade Meade, James Shea, Reice Charles-Cook,
Sead Hajrovic, Philip Roberts, Nigel Neita, Samir Bihmoutine, Josh Rees (all released)
23 Million for Madrid's Bench Warmer...lol crazy stuff from poor Wenger. Lambda atasaidia mmalize juu ya Tottenham
We are in different classes mate