Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

...na ijeee, kichapo chenu kipo pale pale...idadi ya magoli tu imepungua!

Magoli yamepungua si unajua majeruhi kibao,Terry, Bosingwa, Cole, Lamps, Drog.....laklini nyie wepesi sana Kalou na Malouda watawatosha! Chelsea 2 Arsenal 0

Msianze kupanic wazee wa London....
 
....AW alisema November Nuksi! 😡

lakini naye kazidi u-patriotic kwa makocha wenzie!

Angalia Lampard, cashley cole, Rio, et al ...wooote hao wali pull out kwenye hizi meaningless 'internationals' kwa kisingizio cha ugonjwa/majeruhi kuji-protect na hizi unnecessary injuries!

AW alizidiwa maamuzi hata na Stuart Pearce summer, matokeo yake Theo Walcott mpaka sasa majeruhi!... tumshukuru Mungu tu Gallas na Vermaelen wapo salama, laisvyo mnhhh!!!

January ifike mapema, labda Maroune Chamoukh atakuja kuziba pengo la Van Persie... huyu (Van Persie) harudi mpaka mwisho wa Msimu...

Hata Chelsea majeruhi kibao mkuu wangu, usiogope sana Nov. 29 tunaweza kuwa bila Ashley Cole, Lampard, Drogba, Bosingwa na labda Terry. Ndio mambo ya Nov hayo kama alivyotabiri Arsene "I didn't see it" Wenger.
 
Eduardo the poacher will do the job, hiyo sio ishu kabisa. On the 29th the battle will be won in midfield. With Vermalen fit, defence hamna tatizo. Chances Arsenal wanatengeneza, ni umaliziaji tu. Eduardo will do the job.
 
wakuu good news za leo ni kwamba Van persie will be out only for 6 weeks na sio kama habari za mwanzo kwamba atakuwa nje miezi 3 mpaka minne.tunakuombea upone haraka van persie.
 
kila kitu kitakuwa poa mkuu geoff wala sio mwisho wa arsenal hizo habari zimeshakanushwa na hii hapa habari mpya kutoka arsenal officials wenyewe.

Arsenal have announced that Robin van Persie will be sidelined for 'approximately six weeks'.
The striker suffered an ankle injury 10 minutes into Holland's goalless draw with Italy on Saturday and had to be stretchered from the field.
The Dutch Football Association later revealed he had ruptured ankle ligaments amid fears he could be out of action for several months.
Van Persie
spacer.gif
played down such concerns on Sunday evening by saying that he would be fit to return in 'four to six weeks'.
Arsenal have now confirmed the length of time they expect to be without the 26-year-old, whilst also stating that he will come back to England to continue his rehabilitation.
Van Persie
spacer.gif
will therefore miss a number of key games for his club but should be available again around Christmas.
A statement on Arsenal's official website read: "Following the care given to Van Persie by the Dutch FA, he will travel back to London this week and continue his treatment with the Arsenal medical team at London Colney.
"Van Persie will be out of action for approximately six weeks.
"We wish Robin a speedy recovery and look forward to seeing him playing again soon."
 
...aaaah, sio siri gazeti la theSUN la hapa uingereza wana kampeni mbovu kuhusiana na Arsenal, I doubt Editor wake kama sio mshabiki wa Spurs huyu!

...tukishinda, ka headline kadooogo, tena ukurasa wa ndani,...tukifungwa...loooh, booonge la headline, tena front page news!!!

Washabiki wa Arsenal (Uingereza) nawashauri kwa habari za Arsenal msome Daily Mail/mail on Sinday angalau kidogo, ...au the Mirror, au Daily Express/Sunday Express!!!

Richard una maoni gani?
 
Robin Van Persie ni mmoja wa wachezaji muhimu sana kwa Arsenal.

Ingawa Van Persie kwa asili ni mshambuliaji wa pembeni Arsene Wenger alianza kumtumia kama mshambuaji wa kati baada ya kuondoka kwa Adebayo.

Hali hio pia imemfanya awe mshambuliaji wa kati wa nchi yake Holland. Van Persie "tacticallly" hupenda kubadilisha mchezo kwa kucheza ama pembeni au kati huku akisaidia mashambulizi na apatapo mwanya hufunga magoli.

Eduardo atacheza nafasi ya Van Persie na maana amekua akianza na kukaa bench na huenda mechi na Chelsea Theo Walcott nae akacheza.

Tunawasubiri Chelsea 29 November.
 
Eduardo atacheza nafasi ya Van Persie na maana amekua akianza na kukaa bench na huenda mechi na Chelsea Theo Walcott nae akacheza.

Tunawasubiri Chelsea 29 November.

EDUARDO ndio option tuliobaki nayo sasa mie ninachoogopa ni mtu wa injury sasa sijui itakuwaje.
 
RVP will be back on the pitch in 4 weeks time,i dont think it will take him six weeks. Msikonde sana masela wangu, Theo is not very far from coming back, anaweza cheza pale mbele na ikishindikana kabisa- Varmaelen atasimama na Dudu, wengi hawajui kuwa pengo la Adebayor lilizibwa na Prof. kwa kusajili defender mfungaji!
 
Kwa kweli kuumia RVP ni pigo kwetu kwa kiasi, akicheza RVP tumekuwa tukicheza formation ya 4-3-3 tukifanya mashambulizi na kugeuka 4-5-1 tunaposhambuliwa, formation hii imetupa mafanikio sana msimu huu, zaidi kwenye ile mechi ya Spurs, sasa kwa vile hatuna RVP na Bendtner option inakuwa ndogo, itabidi tucheze 5 midfields na lone striker (Eduardo) akiongoza mashambulizi.
AW ana muda wa kutosha kuandaa vijana na formation kwa ugeni wa Chelski, inabidi Vela na Ramsey wajinoe vya kutosha.
France wanacheza tena Paris, versus Ireland J'tano! Wasiwasi wangu tusiongeze majeruhi (Gallas na Sagna). Mechi yao ya J'mosi iliopita kule Dublin ilikuwa ngumu, na hii ya Paris itakuwa ngumu vilevile, hofu yangu kwa Gallas na Sagna mpaka ikifika J'mosi ijayo dhidi ya Chelsea wanaweza kuwa burned-out, watakuwa wamecheza mechi 3 ngumu katika muda wa wiki (Dublin-Paris-Sunderland!) Mungu atatusaidia.Lakini Chelsea wanaonekana wamekuwa na kawoga! Eti Lampard kaumia ndegeni? ikifika tarehe 29 utawaona wote wamepona kimiujizaujiza Lampard, Terry na Drogba! Na bora tu waje na kikosi kamili ili tukiwafunga wasitafute na sababu.
 
Kaka mbona majeruhi wetu unawaona kama sio majeruhi vile. Nina hakika katika hao uliowataja ni Terry tu ana possibility kubwa ya kucheza, tena this weekend na Wolves, lakini A. Cole, Drogba (?), Lamps(?) na Bosingwa inawezekana wakakosa Arsenal game wote!
BTW, naona RVP yeye kaamua kwenda kwa mganga wa jadi ili apone haraka, anaweza kucheza mechi ya Chelsea....si unajua tena mambo ya SANGOMA.....kwi kwi kwi. Mwaka huu mtajaribu kila kitu, miaka minne bila trophy si mchezo, mtaroga sana!
 
Mkuu Mkulima najua muna majeruhi lakini kwa key players wenu pengine Ashley na Bosingwa tu ndio watakosekana lakini Terry, Drogba na Lamps nina hakika watarudi ifikapo 29/11, Drogba hajaumia ki ivo na Lampard ni geresha ya kukimbia mechi ya England friendly tu.
 
Ahsante mkuu! Nini maoni yako kuhusu RVP kwenda tibiwa kwa sangoma wa Serbia kwa kutumia placental fluid massage? Desperation or stupidity?!
 
Back
Top Bottom