Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 304
Pompey hawashuki watanunua wachezaji January.Timu za kushuka daraja mwaka huu zimejulikana mapema sana (don't bear with me) ni
18Wolverhampton
19 Hull
20 Portsmouth
Pompey hawashuki watanunua wachezaji January.Timu za kushuka daraja mwaka huu zimejulikana mapema sana (don't bear with me) ni
18Wolverhampton
19 Hull
20 Portsmouth
aaaaarsharvin
Haya mambo yakuangalia vya bure online,...web zote zimekata...vyabure ghali...leteni story!!
pole sana mkuu .website hizi mara nyingi zinajitahidi sana atdhe.net,hostream.net,livefooty.doctor-serv.com.Haya mambo yakuangalia vya bure online,...web zote zimekata...vyabure ghali...leteni story!!
Mashaka yetu yaleyale ! Free header jamaa keshachafua gazeti, hakuna clean sheet! Aaargh!!!!!
ha ha ha mkuu kumbe hupo unatuchungulia.Hahaha Arsen Wenger na Kweli mmenichekesha lol...
Mkuu hawa akina Chelsea na Mannure huwa wanachungulia hapa jamvini, kama tungepigwa bao utaona wanabuka akina Eqlypz, Belo, masanilo et al.ha ha ha mkuu kumbe hupo unatuchungulia.
![]()
![]()
Whatever the result tomorrow, tunamalizia wiki hii tukiwa nafasi ya pili.
mechi yao kesho matokeo yote matatu ni mazuri kwetu sema ni vizuri zaidi wakitoka draw.Mkuu hawa akina Chelsea na Mannure huwa wanachungulia hapa jamvini, kama tungepigwa bao utaona wanabuka akina Eqlypz, Belo, masanilo et al.
Mkuu hawa akina Chelsea na Mannure huwa wanachungulia hapa jamvini, kama tungepigwa bao utaona wanabuka akina Eqlypz, Belo, masanilo et al.
mechi yao kesho matokeo yote matatu ni mazuri kwetu sema ni vizuri zaidi wakitoka draw.