Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

sport-fixed_1666946a.jpg

Wakuu kama mlivyosikia UEFA wanasema 4 yrs ago mechi iliyochezwa ndani ya England bahasha zilitembea ile mbaya chacha wale waliokuwa wananilaumu mimi kwa kusema ukweli wanagwaya wanaona soni maana
Manure na Chelsick ndio zao kuwanunua waamuzi na kupewa 50/50. Rejea magoli yaliyofungwa na Chelsick tulipokwaana nao pale kwenye cowshed .... ...... ..adhabu haikutolewa na faulo ilitokea goli la kwanza la pili bonge la Dive kutoka kwa nani chijui yule oscar chijui ana-mata au ni hazards tupu.

Kila chenye mwanzo kina mwisho na kabla hujafa hujaumbika.
 
article-2272941-174DEA30000005DC-983_634x388.jpg

Nacho Monreal kwenye mtanange wa kukata na shoka
walipokwaana na Stoke ....

article-2272941-174DD328000005DC-115_634x445.jpg

Rearguard - katulia ... ..... ....
 
Mkuu Wacha1, haya mambo nilikuunga mkono kwamba yapo na imedhihirishwa ili wale wanaofuata pesa za kutoka nje waelewe madhara ya hizo pesa.

Arsenal imemaliza deni la uwanja na tunangoja kutumia pesa wakati wa kiangazi.
 
sport-fixed_1666946a.jpg

Wakuu kama mlivyosikia UEFA wanasema 4 yrs ago mechi iliyochezwa ndani ya England bahasha zilitembea ile mbaya chacha wale waliokuwa wananilaumu mimi kwa kusema ukweli wanagwaya wanaona soni maana
Manure na Chelsick ndio zao kuwanunua waamuzi na kupewa 50/50. Rejea magoli yaliyofungwa na Chelsick tulipokwaana nao pale kwenye cowshed .... ...... ..adhabu haikutolewa na faulo ilitokea goli la kwanza la pili bonge la Dive kutoka kwa nani chijui yule oscar chijui ana-mata au ni hazards tupu.

Kila chenye mwanzo kina mwisho na kabla hujafa hujaumbika.

[h=1]Liverpool game allegedly investigated[/h]February 5, 2013

Liverpool have been thrust into a worldwide match-fixing scandal, with reports emerging Europol are investigating Hungarian side Debrecen after a 2009 Champions League clash.
Danish newspaper Ekstra Bladet stated on Monday evening that Europol sources had confirmed to them that Debrecen were under investigation for their 1-0 loss at Anfield in a group stage match. It is said goalkeeper Vukasin Poleksic was approached to let in at least three goals in order to trigger an 'over 2.5 goals' bet, but on the night Dirk Kuyt's strike was all that separated the teams.

Further to the report, Poleksic received a two-year ban from UEFA for failing to report a match-fixing approach later in the group stage when the Hungarians went down 4-3 to Fiorentina. The Telegraph newspaper claims German police have already established that match was subject to match-fixing from a Croatian-led crime syndicate.
 
:biggrin1: yaani wenyewe wako proud na statistics mpaka wamekuja kuziweka hapa wakati game hawajashinda and they r nowhere near the top 4 kazi kweliiii

"Superior statistics is like winning a trophy" - Wenger, 20..
 
Liverpool game allegedly investigated

February 5, 2013

Liverpool have been thrust into a worldwide match-fixing scandal, with reports emerging Europol are investigating Hungarian side Debrecen after a 2009 Champions League clash.
Danish newspaper Ekstra Bladet stated on Monday evening that Europol sources had confirmed to them that Debrecen were under investigation for their 1-0 loss at Anfield in a group stage match. It is said goalkeeper Vukasin Poleksic was approached to let in at least three goals in order to trigger an 'over 2.5 goals' bet, but on the night Dirk Kuyt's strike was all that separated the teams.

Further to the report, Poleksic received a two-year ban from UEFA for failing to report a match-fixing approach later in the group stage when the Hungarians went down 4-3 to Fiorentina. The Telegraph newspaper claims German police have already established that match was subject to match-fixing from a Croatian-led crime syndicate.

Mbona timu yako ya mshoga unaiacha si uweke hapa ... ... kuhusu brown envelopes na wale walio kwenye pay roll ... .... .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeee chijui mtakimbilia wapi mwaka huu ... ..
 
Hao unawaita mashoga kila wakikutana na wewe lazima wakubake,na tutaendelea kuwabaka hatutawasamehe hata mkiendelea kulialia
 
Mbona timu yako ya mshoga unaiacha si uweke hapa ... ... kuhusu brown envelopes na wale walio kwenye pay roll ... .... .... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeee chijui mtakimbilia wapi mwaka huu ... ..

We wapi? Uingereza ni mechi moja tu iliyotajwa katika report we kama inajua mechi nyingine tuambie.

NB: Kama Man Utd Ni mashuga na kila mkikutana nao wanawapiga bao za kutosha na kuwafikisha kileleni (8 )
 
Kamuulize Fungie atakwambia khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee

Fungie anaujua vizuri utamu wa Kuila Arsenal yani kila mwaka tuna uhakika wa kuwapiga nje ndani kiulaini bila kutumia nguvu, kwa kifupi hata tukikutana barabarani tunawapiga tu hakuna shida.

Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
Wacha1 gervinho tumemrudisha haya mlalamike tena....
 
Last edited by a moderator:
Wacha1 gervinho tumemrudisha haya mlalamike tena....

Oooops chikukuona . ... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeee kuhusu Gerv. prof katema haya ... ... ... ''on Gervinho…
Gervinho has arrived back [from the Africa Cup of Nations] on Friday but he is not in the squad for Sunderland. We have given him five days off.'' ... .... ..
Chacha masemaje?

Tina wachezaji lukuki usitie shaka ... ... ... ... .. ....
 
Wingi wa wachezaji sio ubora wao...!!!
 
Back
Top Bottom