Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mpira mzuri mpaka sasa ispokuwa Stoke wamegundua janja ya nyani 4 players wako nyuma kila wakati
Coach atabadilisha aina ya mashambulizi, tuombe Mungu tusiteleze kwani hawa jamaa wanalinda kama nyuki
 
Walijitahidi kutoa mpunga kwa kibendera lakini
haikusaidia kitu ... .... hata
Fungie kaja kunyatia ... ...
Safi sana Gunners .. .... ...

BTW Chelsick katundikwa magoli hivyo hakuna pics jamaa wamezuia uhuru wa habari khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. What a joke?
 
We are clocking points every match. Be careful Chavs and Spurs. We are in our way to our last year position in PL. bravooo
 
Husda na wivu ndio unaowakosesha wapinzani wetu usingizi yale mambo ambayo Prof anafanya. Manure chacha hivi uwanja hawana, ati wanachubiri summer ndio waweke nyasi mpya wakati ndio kwanza tupo katikati ya msimu ... .. talk about planning, ndio maajabu ya Old Trashford. Chacha Fungie kabla ya mtanange wake ameonekana na camouflage pale Emirates kazee kazima kanakula chewing gum kama katoto kadogo ... .. pathetic! Washukuru Brown envelopes bila hivyo kilio kingesikika kwenye jua. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Chichi
Gunners ahhhh mambo mswano chitaona kama watafuzu na hizo brown envelopes zao kwenye CL.

BTW pics zinawaumiza wapinzani wetu hivyo hawaturuhusu , anayeruhusiwa niMungiki Brotheret al. COYG msijali wamebana wataachia khe khe khe khe kheeeeeeekama kawaida yao.
 
Si tushachukua CL nyinyi na mambo yenu mazuri mmechukua mara ngapi? Kama Uingereza mnakosa ushindi kwa sababu ya kutotoa bahasha mbona hamchukui CL?
 
Nani alikwambia m a v i ya kale yananuka? khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wacha kuweweseka mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom