Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wingi wa wachezaji sio ubora wao...!!!

Gunners isn't Chelsick chi mna wachezaji 22 uhamishoni, we registered enough players for the first team, hatulalamiki kama hatuna wachezaji. Chacha wewe malalamika as whom another mentor ing i d i o t s? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Walcott, Giroud.

How the hell RAMBO anaanza wakati kuna OX, Rosicky n Diaby????? Hapa ndo AW huwa ananiudhi......
 
wakuu vp kikoc cha leo kiko vp

''Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Walcott, Giroud'' .. .... .... ....


Ooops .... .... quest sikuiona hii ...... .. . .. .
Arsenal:Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Arteta, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Walcott, Giroud
.

How the hell RAMBO anaanza wakati kuna OX, Rosicky n Diaby????? Hapa ndo AW huwa ananiudhi......


Mkuu za masiku, Prof ndio anashinda kwenye mazoezi na vijana mimi sina shaka na kikosi anachopanga ... ... ...

BTW nachikia kuna manager analialia leo kama katoto kadogo ... ... .. ati mechi zinakuwa zinapangwa kwa ajili ya TV ... ..... mkuki kwa nguruwe .. ...shenzi typu!
 
Koscielny kaumia kwenye warm up Jenkinson kachukua nafasi yake ... ...
 
Sunderland wanafahamu nini kitawapata wanacheza rafu tu ... .... ... ... .
 
CARZOLAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA............... SAFI saaaaaaanaaa
 
HT ... ... .... Ramsey, Walcott wanakosa magoli kabla ya HT
 
nafasi tunapoteza nyingi lakini ndio mpira, wakirudi hawa watabadilika tukipata goli la pili litapunguza kasi ya mpira, tunaweza pata goli la haraka kipindi cha pili,
 
Leo kwa vyovyote inabid tushinde cuz majiran zetu naona leo wamechukua point 3!
 
Prof. anamua kumpumnzisha Jack naona anamlinda asiumie zaidi maana hawa Sunderland wana faulo za kijinga sana ... ... .. Diaby in ... .... ...
 
Jenkinson second yellow Gunners playing with 10 players now ... ..
 
Back
Top Bottom