Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Nacho Monreal hawezi kucheza kwenye CL ila atacheza Premier Leaguena FA Cup.
Hiyo inamaanisha kwamba ngome ya Arsenal itakayocheza na Bayern Munich itaundwa na Sagna, Mertesacker, Koscielyn na Vermaelen ambae itabidi acheze kama beki wa kushoto.