Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa sasa tuna tofauti ndogo saaana na Stoke City kwa dizaini ya Uchezaji....
 
Pamoja na bahasha tupo kumi tukawachapa @ their own backyard...

COYg.. sagna kacheza poa kweli
 
Szczesny kaokoa jahazi na Diaby tukiwa 10 ... ... ... .... haya tuangalie next game FA cup ... ... Blackburn - Emirates.. ... .COYG safi sana 3 points kibindoni.
 
nilikuwa ni hoi halafu tulikuwa kama tumekubali kwani zile nafasi tulizopoteza kipindi cha pili tungeliwapunguza kasi hawa
Hongereni Arsenal wenzangu kwa gemu ya leo tulikuwa tunaombewa dua tupoteze hapa tuone zogo litakaloamshwa,
 
ARSENAL-SPLASH_1670266a.jpg





goal_1670264a.jpg



SANTI'S Cazorla strike grabs three points for Gunners



a01_28_620x413_1670230a.jpg



MIG STAYS BIG ... keeper blocks from Theo Walcott



a02_33_620x620_1670235a.jpg


GIROUD AWAKENING ... Olivier rues a missed chance


a04_28_620x413_1670248a.jpg


FLY BOY ... Cazorla celebrates


 
red_28_620x413_1670286a.jpg


RED ALERT ... Carl Jenkinson receives his marching orders
 
3 solid points accompanied with solid performance... COYG..............
 
Mh that was solid performance??! Well...
Hongereni.
 
article-2276135-17746739000005DC-240_634x441.jpg


Furious: As Wilshere hobbled off, Arsene Wenger was irate
with the referee


article-2276135-1774739E000005DC-428_634x434.jpg


Fighting: Wilshere and N'Diaye go head to head for the ball

BTW Jack will be fit in few days ... ... .. .anawekwa kiporo sasa
hadi waje Wajerumani kwenye CL

 
Hello Gunners wenzangu mambo!

Hizi ni 3 points muhimu sana kuzingatia kwamba tukishinda mechi ijayo dhidi ya Aston Villa basi tutakuwa na picha kamili ya wapi tunasimama.

Mechi ya jana ilionyesha kwamba sasa timu yetu inaweza kusimama na kucheza mpira bila wasiwasi tena bila hata wachezaji wawili wa mkoba Vermaelen aleumia kiwiko cha mguu na Koscielny ambae aliumia kwenye mechi ya kirafiki na timu France.

Wenger hakuwa na jinsi na ikabidi amchezeshe Bakary Sagna kama mkoba na pembeni kulia kukawa na Carl Jenkinson na kushoto Monreal.

Kwa kweli hatukutarajia "line u"p ile lakini Sagna akacheza kama vile nafasi hiyo hucheza siku zote na takwimu zinaonyesha kamba aliokoa mipira mara 14, alikabili adui mara 1, aliingilia pasi 2, aliokoa mipira 5 ya vichwa, na alitoa pasi murua kwa asilimia 79.

Hii ni rekodi safi kabisa juu ya bakary Sagna ingawa uchezaji wake wa siku za hivi karibuni umeulizwa maswali mengi.

Everton wana game ngumu leo dhidi ya Man U ingawa wanaweza kuambulia sare.

Jana tulimpa mkono wa kwaheri Santos ambae anarudi kwao Brazil ambako anajiunga na timu ya Gremio kwa mkopo na pengine baadae uhamisho kabisa.

Halafu kuna mpango mzima wa Arsenal kufanya "clear out" ya wachezaji sita akiwemo Andrei Arshavin na Squillaci ambao mikataba yao inafikia tamamti mwezi Julai mwaka huu na wameambiwa kabisa watafute timu.

Jumamosi tarehe 16 tunawakaribisha Blackburn Rovers kwenye mzunguko wa tano wa kombe la FA na baadae Jummane tarehe 19 tunawakaribisha Bayern Munich ya Germany kwenye uwanja wetu wa Emirates.

Come on Gunners!
 
Gunners wamejichimbia Colney wanakula mazoezi kama kawa, wanoko wanawewesekaweweseka tu hawana cha kusema. Wanachubiri mtanange wa uhakika kutoka kwa Gunners tukianza na Blackburn na kuwakaribisha wajerumani Emirates ... ... ... T5 yuko fit kwa mtanange wa J1 wakati Jack yupo 50/50 ... ....moto wa kuotea mbali huyu ... .... Kosc yupo kama Jack naye 50/50 ... .... ..... .. COYG
 
muhimu kushinda gemu hii
tusijaribu wachezaji kwenye gemu hii kwani Blackburn watakuwa ngangari watacheza kwa nguvu sana
 
Back
Top Bottom