Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Giroud is not a striker at all!!!

ndugu kuwa na simile he has a difficult 1st season hapo panahitaji sharpness,quickness and good finishing touch kitu ambacho kinaweza badilika kadri atakavyocheza
 
arsenal mnahamu mngekua mnacheza na reading kila siku maana ndio vibonde wenu hao...bora lakini kidogo wenger apumue maana hali yake pale emirates sio nzuri
 
Honngereni Gunners kwa ushindi huu mtamu.....

Dawa ni kujipanga kwa Wigan na West Ham......Tukishinda hizi nafasi ya 3 ama 4 ni yetu.....

Mdogomdogo tunapanda juu........
 
ndugu kuwa na simile he has a difficult 1st season hapo panahitaji sharpness,quickness and good finishing touch kitu ambacho kinaweza badilika kadri atakavyocheza

apewe mda na nafasi zaidi anaweza akabadilika vinginevyo itakuwa kama ya chamakh anyway point 3 muhimu sana izi

Kumbukeni tumemchukua akiwa top scorer, alikuwa top class tayari!! sidhani kama kwa nafasi anayocheza anahitaji kuzoea league ndio aanze kufunga. Mbona akina Michu, Benteke wameingia msimu huu EPL lakini makali yao tunayona??
 
walcott; 'we showed people the true arsenal' yaani kuwafunga reading team ambayo iko bottom of the league ndio mmetuonyesha the true arsenal sio?
 
don't compare Santi and Gerv...santi is a world class player huku gervinho ni good average player!
Ni dhambi kubwa sana kufananisha mchezaji9 wowote wa kutoka Spain na mtu mwingine,tena kwa heshima refusha jina lake ni Santiago Cazorla Gonzalez
usicheze na Waspain,waspain wanajua na ni raha,kila mchezaji anaetoka Spain ni kifaa hadi mvuvi,warembo Spain wanajazana kwenye soka na hela zao,soka ni proud kubwa sana Spain,Viva Roja(Red)Hasta luego,Adios.
 
Kumbukeni tumemchukua akiwa top scorer, alikuwa top class tayari!! sidhani kama kwa nafasi anayocheza anahitaji kuzoea league ndio aanze kufunga. Mbona akina Michu, Benteke wameingia msimu huu EPL lakini makali yao tunayona??
Wachezaji wengi kutoka Ligue 1 hasa washambuliaji huwa wanachemka sana wakifika EPL mfano Cisse,Chamakh,Gervinho,Diouf
 
January ndo hiyo inakuja na transfer window taratibuu inafunguka, if only we can keep Theo and Sagna! Wakati mwingine AW inabidi a swallow his pride kama Fergie alivyofanya kwa Rooney tu manake hawa wachezaji ni kama machangu tu, leo anakiss badge ya Arsenal, kesho Man City wakimuongeza mshiko wanamchukua anaanza kukiss badge yao!!

Darren Bent na Joleon Lescott ndo majina yaliyonikaa kichwani tunapokaribia hii transfer window. Naamini Bent atakua available hii january na kama tukiwa serious tukaenda na offer ya maana tutampata, huyu jamaa inaonekana hafit kwenye plans na systems za Lambert ambaye anamuona Benteke ni team player mzuri zaidi na ana hold mpira mbele kuliko Bent ambaye anasubiria mpira tu pale mbele na kuona jukumu lake ni kufunga tu, sio mzuri kwenye dirty work. Naamini Bent ni striker mzuri na akicheza kwenye timu kama arsenal ambayo ina midfielders wazuri ambao watakua wanampa service za maana atakua na uwezo wa kufunga magoli mengi tu.

Tukija kwa Lescott, binafsi namuona ni bora kuliko Mertasacker na Koscielny. Naamini huyu jamaa atakua na bifu na Mancini ndo maana hapangwi siku hizi, siamini kwamba hiki ki teenager- Nastacic na babu Kolo ni bora zaidi kiuchezaji kuliko yeye, kuna kitu hapa na kama AW akitumia huu mwanya tunaweza kumnyakua kwa bei chee kabisa.

Huu ni mtazamo wangu tu, hebu na nyie gunners wenzangu nipeni wish lists zenu hii january lakini naomba muwe realistic, msijesema Messi na Falcao coz we all know we cant afford them!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie Mkuu Kana-Ka-Nsungu namtaka sana yule Demba wa Demba (Demba Ba) kule New Castle atasaidia sana kuongeza mashambulizi na upatikanaji wa magoli ambalo ni tatizo kubwa sana tangu kuondoka kwa VP, lakini kwa jinsi nimjuavyo AW na baadhi ya wacheza wazuri kuwa magutumagutu kuchezea Gunners nina wasiwasi kama tutapata wachezaji wazuri ambao wataweza kuinyanyua timu katika ngwe na pili ya EPL, tusubiri tuone Mkuu.

Demba Ba's scoring streak revives Newcastle but that £7.5m release clause has big clubs circling | Mail Online
 
Last edited by a moderator:
BAK hata mimi namzimia sana Demba lakini sidhani kama tutampata kama atakua anaangalia hela, labda atake kuja kwa mapenzi yake mwenyewe. Afu issue ingine ni kwamba huyu jamaa ali fail medical kule brittania walikokua wanataka kumsajili kabla hajasainiwa na West ham na naskia ana tatizo kwenye goti lakini anapiga kibongo bongo tu, sasa timu kubwa kama Arsenal sidhani kama watamsajili kama akifeli hiyo medical.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
I'll keep my fingers crossed with expectation that he'll sign for gunners katika hili dirisha dogo la usajili kati ya sasa na January 2013..likitokea hili nitachekelea sana kama akiwa yuko bomba na kuweza kucheza mechi nyingi basi atakuwa kipenzi cha wanachama, wapenzi na mashabiki wa gunners katika kipindi kifupi sana kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao. Mara nyingi akiingia kwenye miguu 18 ya mtu mzima mwenye akili timamu huwa hafanyi ajizi katika kuziona nyavu za adui.

BAK hata mimi namzimia sana Demba lakini sidhani kama tutampata kama atakua anaangalia hela, labda atake kuja kwa mapenzi yake mwenyewe. Afu issue ingine ni kwamba huyu jamaa ali fail medical kule brittania walikokua wanataka kumsajili kabla hajasainiwa na West ham na naskia ana tatizo kwenye goti lakini anapiga kibongo bongo tu, sasa timu kubwa kama Arsenal sidhani kama watamsajili kama akifeli hiyo medical.
 
Demba ni mchezaji mzuri ni kweli lakini Arsene atambadilishia # eti tu kuonesha yeye anajua zaidi si tunaona Podoski kapelekwa wing eti Gevino ndio striker au hata Ibrahimovic kwani PSG wana tatizo kuna mzozo kwenye timu yao tutumie nafasi
Pale kati kweli Mertasacker ni pengo na ndio njia kwa sasa magoli mawili ya Reading yamepita kati panahitajika mtu kama Song yeye alikuwa kiraka pale kati na nyuma kama tuneza tumia pesa basi Thiago Silver wa PSG ndio chaguo
 
Arsenal versus West Ham on December 26 postponed - ESPN FC


Arsenal v West Ham postponed
December 19, 2012

By ESPN staff
Arsenal's Premier League fixture with West Ham United on December 26 has been postponed.
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.gif

GettyImagesArsenal moved into the Emirates in 2006
• Blog: Width, wit and Walcott
• Blog: Hammers hoodoo strikes
The Boxing Day match was uncertain to go ahead due to concerns regarding proposed industrial action on the London Underground and it has now been confirmed it has been called off.
London Underground drivers are to stage three strikes in a row over Bank Holiday pay, with the first scheduled for December 26.
A statement on the Hammers' website read: "West Ham United and Arsenal liaised closely with all the relevant agencies, including the Metropolitan Police, Transport for London, London Underground, The Premier League and Islington Council, in order to reach this decision."
Arsenal added: "The paramount concern was always the duty of care towards the Arsenal supporters, West Ham United supporters, matchday employees and workers and indeed everyone who was planning to attend the game on Boxing Day."
The match will be rescheduled on either Wednesday, January 23 (19.45 GMT), or Saturday, January 26 (15.00 GMT), depending on the results in the FA Cup third round.
 
kaka nani alimjua Kolo Toure,george weah,yaya toure,manucho,peter ndlovu? Kutaja wachache na wengine wamekuja EPL hawajulikani wamekuwa ma star ebu nambia nani alimjua Chicharito?

Tumwache dogo atimize ndoto yake

Siku hizi ligi za club bingwa barani africa na ligi za nchi moja moja zinaonyeshwa kwenye TV huko nyumbani na najua watu wengi wanaangalia- au huna king'amuzi mkuu? nimeuliza tu kama kuna mtu anajua how good this kid is, kama hujui sio lazima ujibu..
 
Back
Top Bottom