Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu gunners mambo vipi.

Nipo kidogo dissappointed kutokana na kwamba mechi na West Ham ambayo ingetupa mwana wapi tunasimama by Boxing Day imeahirishwa.

Hii Draw ni nzuri watu hawajui tu, Arsenal inacheza mechi yake ya kwanza nyumbani na kwa kuwa msimu huu away form ni nzuri basi tuna uhakika wa angalau safari hii kucheza tena robo fainali ingine.

Good some news.

Huenda tukawa na Demba Da kutoka Newcastle by January. Ba ana sehemu ya mkataba inasema anaweza kufanya usajili kwa paundi milioni 7 na Arsenal hawatashindwa hiyo.

So hadi sasa Demba Ba ametokeza kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Arsenal mwezi ujao. Bado kuna dalili za Fellaini kuwemo pia, maana kama Fallaini na Ba wakisajiliwa na Arsenal basi tumemaliza biashara.

Tutaangalia zaidi baada ya Boxing Day.

Comeon Gunners!
 
Ba kuja arsenal for me itakuwa dream come true.. mkuu Stephan nsunzu definitly atakuwa a.goner soon... At list tunarudisha.Ile arsenal ya blacks.wenye nguvu sio kina djrou
 
Arsenal team to play Wigan:
Szczesny, Sagna, Vermaelen, Mertesacker, Gibbs, Wilshere, Cazorla, Arteta, Ox, Podolski, Theo
 
As long as Gervinho na Ramsey hawapo kwenye starting 11, basi tumeshashinda!!
 
Card ya njano ya Wilshere noma, Wenger amlete Coquelin sidhani kama Wilshere ataweza kumaliza game bila kadi nyingine
 
Tukiwapiga la pili nguvu itawaishia

Mda umefika wenger amtoe Wilshere,akipata kadi nyekundu noma mechi nyingi zinakuja
 
Back
Top Bottom