Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Siku hizi ligi za club bingwa barani africa na ligi za nchi moja moja zinaonyeshwa kwenye TV huko nyumbani na najua watu wengi wanaangalia- au huna king'amuzi mkuu? nimeuliza tu kama kuna mtu anajua how good this kid is, kama hujui sio lazima ujibu..
dogo yuko njema sana! Ma scout walimwona mashindano ya world cup U-20 kule Canada miaka 3 iliyopita na consinstent top perfomance yake TP mazembe na kama ulitizama AFCON mwaka jana ni potential kwa kweli