mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 638
Duuh! Chembalin anakosa bonge la goli
Hapo hatuna kikosi cha ushindi, sema timu tunayochezanayo ni kibonde....na utashangaa tunaweza fungwa.Naona Wenger kaja na kikosi cha ushindi leo
Tuko pamoja wakuu ,kila la kheri
Hapo hatuna kikosi cha ushindi, sema timu tunayochezanayo ni kibonde....na utashangaa tunaweza fungwa.
Hii game ipo open sana! Kunaweza kuwa na magoal mengi on either side. Chamuhimu defenders wetu wawe makiniTukitulia tunapiga nyingi
Inabidi kipa apewe credits! Walcot kaupiga mpira vizuri.Not everytime ukibaki na kipa lazima uscoreWalcott kabaki yeye na kipa tu lakini kakosa goli....what a shame