Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Carzolaaaa
Jamaa beki yao inatushangaa tunavyocheza badala ya kukaba
Jamaa beki yao inatushangaa tunavyocheza badala ya kukaba
Hakuna cha tathimini yoyote, ukweli ni kwamba leo tumeokota vibonde.....Carzolaaaaa la tatutathmini ya mechi kwa ujumla wadau tunaisubiri kwa hamu sana,mi naona uvivu kutoka hapo nje.
Santi .... Show gernvinho how to score.. gev angekosa pale
Dah!! No clean sheet!!
We ndio huna kazi ya kufanya...kama wupo barca saa hizi unafanya nini kwenye thread yetu???Mashabiki wa arsenal roho ngumu! Hii timu sitakuja kuishabikia hata siku moja! Hivi ninyi mmekosa kazi za kufanya mnaishabikia arsenal? Karibu Nou camp!
We ndio huna kazi ya kufanya...kama wupo barca saa hizi unafanya nini kwenye thread yetu???
Born a gunner, live a gunner and til i die as a gunner!!
Walcoooot!!!
2- 5
Mashabiki wa arsenal roho ngumu! Hii timu sitakuja kuishabikia hata siku moja! Hivi ninyi mmekosa kazi za kufanya mnaishabikia arsenal? Karibu Nou camp!
Dah!! No clean sheet!!
Uko barca coz you are a glory hunter kumbe? Ndo nyie timu zenu zikifanya vibaya mnahamia timu zingine...