Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Kila namba. Leo imejituma
Hata Diaby wasnt bad today....
Kila namba. Leo imejituma
about sahin He's actually just wat arsene said indirectly, he's nt arsenal quality n we just proved t hahaaaaa,[/QUOTE
Viper sikubaliani na wewe kwahilo kuhusu Sahin, Sahin ni mchezaji mzuri tena sana na ni Arsenal Quality ungetowa unazi sema Liverpoolfc ndio Sahin sio sehemu yake Liverpool walitakiwa mtu kama Dembele awe pia anapiga mikwanja kama Arteta anavyofanya mikwanja na Pasi Sahin yeye Touch Pasi Touch Pasi. Kama unakumbuka nyuma niliwahi kusema LFC wamechemsha kwa Sahin, Nuri Sahin kwake ni LFC mtu tayari una Joe Allen why kumbeba Sahin na usitafute Middle zenye ubavu kama Enzi za Essien?. Football ila ishazoeleka Mtu ukifungwa ndio unakumbuka Lawama kwani leo hata Arsenal angefungwa ungeona lawama za watu kwa Arsene Wenger leo kasifiwa subiri Game atazofungwa uone matokeo. Mie Maoni yangu LFC hawakucheza vibaya sana ila wamaliziaji hakuna Suarez sio mmaliziaji yule ni Winger ambaye anakuwa kama Striker.
Hivi kuna mtu anapenda timu yake ifungwe?.......about sahin He's actually just wat arsene said indirectly, he's nt arsenal quality n we just proved t hahaaaaa,[/QUOTE
Viper sikubaliani na wewe kwahilo kuhusu Sahin, Sahin ni mchezaji mzuri tena sana na ni Arsenal Quality ungetowa unazi sema Liverpoolfc ndio Sahin sio sehemu yake Liverpool walitakiwa mtu kama Dembele awe pia anapiga mikwanja kama Arteta anavyofanya mikwanja na Pasi Sahin yeye Touch Pasi Touch Pasi. Kama unakumbuka nyuma niliwahi kusema LFC wamechemsha kwa Sahin, Nuri Sahin kwake ni LFC mtu tayari una Joe Allen why kumbeba Sahin na usitafute Middle zenye ubavu kama Enzi za Essien?. Football ila ishazoeleka Mtu ukifungwa ndio unakumbuka Lawama kwani leo hata Arsenal angefungwa ungeona lawama za watu kwa Arsene Wenger leo kasifiwa subiri Game atazofungwa uone matokeo. Mie Maoni yangu LFC hawakucheza vibaya sana ila wamaliziaji hakuna Suarez sio mmaliziaji yule ni Winger ambaye anakuwa kama Striker.
Leo naona hatutolala Wacha1 akija na Picha zake za Thesun dah! tehtehteh Balatanda leo naona atairudia Game mara 100. mie leo Channel za Sports wala magazeti sitaki kuyaona.
Hongera kaka/dada nani kashinda leo ... ..... .... teh teh nawatafuta Peas of ants, BJ et al walikuwa wanawanga na kuomba dua tifungwe ati walikuwa wanachubiri leo chacha wamekiona cha ntema kuni. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naogopa kuweka picha nimetonywa na Invisible ati na hii thread ataifunga kama alivyofunga NewEra at the Emirates .... ...... ... Wivu tu!
Tehtehteh Wacha 1 kwanza Kuna tofauti ya Pazi na Panzi niombe msamaha Please Jengine ni Kaka tuheshimiane, Tukiondoa Unazi Hongera najuwa leo Furaha yako ipo vipi. nikupe mkono:A S 41:
Dogo manonne naona. Anataka kubakia na namba lol
Questt kumbe ulikuwa unasubirie mshinde ndiyo unijibu eeh, ha ha...sikutegemea lakini, anyway kama msemavyo ''In Arsene, you trust''..HONGERENI watani!! si unajua adui siku zote mwombee njaa🙂) nakusubiria kwenye chama letuBelinda Jacob (BJ) u wapi ulikuja na dua yako... naona mola hakuijibu positively.... Hahahahahahahahahahaaaaa......Sasa ninakuja huko kwako....
Hongera kaka/dada nani kashinda leo ... ..... .... teh teh nawatafuta Peas of ants, BJ et al walikuwa wanawanga na kuomba dua tifungwe ati walikuwa wanachubiri leo chacha wamekiona cha ntema kuni. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naogopa kuweka picha nimetonywa na Invisible ati na hii thread ataifunga kama alivyofunga New Era at the Emirates .... ...... ... Wivu tu!
Arsenal inapaswa ishambulie pia. Kwa staili hii ya kuvizia,Liverpool watasawazisha. Liverpool imeachiwa sana dimba sasa!
Giroud bado sana.....
Questt kumbe ulikuwa unasubirie mshinde ndiyo unijibu eeh, ha ha...sikutegemea lakini, anyway kama msemavyo ''In Arsene, you trust''..HONGERENI watani!! si unajua adui siku zote mwombee njaa🙂) nakusubiria kwenye chama letu
Wivu na Arsenal, nianzie wapiii Wacha1??!..HONGERENI kwa ushindi, msichekelee sana maana safari ni ndefu..sasahivi mtaanza kumshambulia AW!!
Khe khe khe ukinionesha mahali pamoja tu nilipomshambulia prof nitakupa £100.00 kwa ajili ya weekend. Unasemaje?