Konya
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 921
- 118
Diaby naona leo yupo kwenye fomu kweli
leo yuko kwenye form nzuri labda tu abadilike.... nae haaminiki
Diaby naona leo yupo kwenye fomu kweli
Too low......Mkuu, mie siyo mgeni ila ua nakuja hapa nasoma coment zenu kisha nachanganya na zangu kichwani nakula chocho....Sasa timu yenyewe kama inashabikiwa na watu kama wakina Rejeo magamba kweli tunatimu hapa?
Sawa wakuu, nimewaelewa....naombeni mnisamehe bure. Back to the topicsasa mkuu siasa za nini..? tofauti zenu za kisiasa peleka jukwaa la siasa.. acha tu enjoy soccer
For that coment ni kweli nimekosa....nisameheni bure!Too low......
Gunner wa ukweli hawezi kuongea maneno hayo....
Bora umemwambia. Amevamia jukwaa halafu bado analeta habari zisizohitajika hapa.sasa mkuu siasa za nini..? tofauti zenu za kisiasa peleka jukwaa la siasa.. acha tu enjoy soccer
Umesamehewa mkuu.....For that coment ni kweli nimekosa....nisameheni bure!
Hapa sasa kamanda wangu, naweza kupumua!!!!!!!Half Time
Lierpool 0-1 Arsenal
Haaminiki...[h=6]Where are all Diaby haters ...??![/h]
Achana naye.Bora umemwambia. Amevamia jukwaa halafu bado analeta habari zisizohitajika hapa.
Anaweza akapewa hata red kwa hila za Suarez za kujiangusha......Thank God Webb kamstukia...duh!leo metasaka anaweza sababisa penalt asipokuwa makini