Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ukiona manyoya, ujue Jogoo kanyonyolewa
Pole sana mdau ndio soka hilo.Hongereni Arsenal, nikalale mie kutukana humu hakufai kama kuna mafuta na kibiriti basi nikumuwasha Downing moto, na SG aanze Bench madudu tu.
Mkuu, haya ni maneno ya kunifariji tu ili nisikate roho....lakini ukweli ni kwamba leo hatutoki pale
Kudadeki huyu mbelgium ni Chuma kisichoyayuka!