Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Diaby haaminiki mate.......Where are all Diaby haters ...??!
Ni kama homa za vipindi, kuna muda zinapanda na kuna muda zinashuka.....
Diaby haaminiki mate.......Where are all Diaby haters ...??!
Huyu Suarez sijui vipi, hizi mbinu zake chafu sometimes zinawabeba Liverpool.Anaweza akapewa hata red kwa hila za Suarez za kujiangusha......Thank God Webb kamstukia...
What a shot by Suarez......Kazi nzuri Manonne