Questt kumbe ulikuwa unasubirie mshinde ndiyo unijibu eeh, ha ha...sikutegemea lakini, anyway kama msemavyo ''In Arsene, you trust''..HONGERENI watani!! si unajua adui siku zote mwombee njaa🙂) nakusubiria kwenye chama letu
Wivu na Arsenal, nianzie wapiii Wacha1??!..HONGERENI kwa ushindi, msichekelee sana maana safari ni ndefu..sasahivi mtaanza kumshambulia AW!!
Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... Nipo kwako kule... Naona mmeshakua one man team... wote mnategemea RvP!!!! hahahahahahahahahaahaaaaa
Where are all Diaby haters ...??!
Chacha bila Arsenal kuwasaidia mngekuwa wapi? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hivi wakuu, Carzorla anatumia mguu gani?.......Maana anatumia mguu wa kushoto kama anavyotumia mguu wa kulia....
Ananikumbusha enzi za mtaalamu Pavel Nedved......
Mkuu, haya ni maneno ya kunifariji tu ili nisikate roho....lakini ukweli ni kwamba leo hatutoki pale
Dalili zote zinaonyesha kuwa leo ni lazima tutafungwa na Liverpool siyo chini ya goal 3.
Kwa hii mechi ya leo huitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji kwenda kupiga ramli...ukweli ni kwamba hatutoki.
Yaani tumejitahidi sana labda droo....lakini twaweza fungwa goal 3-1 au goal 2-1. Utaki unaacha
Natamani Livapuli wawatungue kesho, ha ha ha!!
Tutatoka mkuu
Arsenal subirini mpata kipigo toka kwa liverpool ndio muanze kujipanga upya bado hamja pata starter
Sina la kuongeza wakuu!
Nina la kuongeza mkuu, umemwona RVP kule kwa majirani..Amenikeraa sana ujue🙂)
Nina la kuongeza mkuu, umemwona RVP kule kwa majirani..Amenikeraa sana ujue🙂)