Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,695
- 29,030
Mzuka wanajamvi!
Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.
Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.
Kwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu na kuwa timu ya kwanza kuongoza ligi msimu wa 2021/22.
Nawapa hongera na pongezi za dhati mashabiki wa Arsenal.