cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,129
Nchimbi hawezi kuwa Rais wa kuchaguliwa, unless kitokeee kitu kingine.Yaani nyie kila siku ni chokochoko TU..mkitoka huku mnahamia kule mnarudi huku ilimradi nchi isitàwalike..nchimbi ni msaidizi wa mama mpaka 2030 then nae ataanza 2030 mpaka 2040