Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,398
- 6,909
Aiseee ni hatari sana
Tumeshakubaliana 2030 ni Riz.Yaani nyie kila siku ni chokochoko TU..mkitoka huku mnahamia kule mnarudi huku ilimradi nchi isitàwalike..nchimbi ni msaidizi wa mama mpaka 2030 then nae ataanza 2030 mpaka 2040
Nchimbi anawinda Urais kwani katiba ya Tanzania itampa Urais pindi Utabiri wa Sheikh Yahya ukitimia mama kuwekwa Bench yeye kuwa Rais ndipo kesi nyingi mfululizo za ufisadi zitafunguliwa ili kuisafisha ccm, watu wengi watafungwa Nchimbi akiwa RaisNchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Akiwa Rais atawafunga watu jela ili kujisafisha kwani ndiyo mbinu pekee ya kujiokoaHuyo nchimbi nae amejaa makando kando mengi, nashangaa ameaminiwaje kuwa hapo ,,,,,
Aahhhh mtandao
Hii inadhihirisha wazi wabongo ni mataahira zaidi ya maiti!!Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Make up, usishangae sana.. siasa ndivyo ilivyo, anatengezwa.Ni ujinga tu kuamini eti Nchi nae sio mwizi au mzalendo. Mzalendo ni anakataa mambo yao mapema.
Hakika ni wale wale waliofakamia uji wa mgonjwa.Huyo nchimbi nae amejaa makando kando mengi, nashangaa ameaminiwaje kuwa hapo ,,,,,
Aah mtandao
Tena walifakamia uji wa moto motoHakika ni wale wale waliofakamia uji wa mgonjwa.
Tumeshakubaliana 2030 ni Riz.
Huyu mwizi mkubwa ana faida Gani. Hata wakishindwa hao Mungu aingilie kati kwa huyuNchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
shida yangu mimi ni matumizi ya Aren't maana yake nini? elimu haina mwishoNchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Ni kweli ni mwenzao, ila Hata wao wenyewe wamegawana, umesahahu enzi zile Bashe ana mbagaza nchimbi?Nchimbi be careful
Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink
They what to do something then after election you will sleep then...
Na wataweka the man of their Network.
ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Punguza sauti.Nchimbi awawai wao..