Aren't: Nchimbi be careful

Aren't: Nchimbi be careful

Nchimbi be careful

Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink

They what to do something then after election you will sleep then...

Na wataweka the man of their Network.

ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
VP anaweza mgeuka nani na Kwa jukumu gani alilonalo?
 
Nchimbi anawinda Urais kwani katiba ya Tanzania itampa Urais pindi Utabiri wa Sheikh Yahya ukitimia mama kuwekwa Bench yeye kuwa Rais ndipo kesi nyingi mfululizo za ufisadi zitafunguliwa ili kuisafisha ccm, watu wengi watafungwa Nchimbi akiwa Rais
Mtasogeza sana tarehe
 
shida yangu mimi ni matumizi ya Aren't maana yake nini? elimu haina mwisho
Hiyo isikutishe, hata aliye itumia hapo kachafua. Haitumiki hivyo.
La muhimu elewa tu mada inalenga kuelezea nini katika hayo maneno unayo yajuwa.
 
"HAKI"?
Mbona hili neno matumizi yake sasa yanatafutiwa maana tofauti kabisa na ile inayosimamiwa na neno hili miaka yote?
Kwa mfano: Samia sasa hivi anahangaika sana kutafuta "HAKI"; anawapa waTanzania fursa nzuri kabisa ya kumchagua yeye kwa HAKI; ndiyo maana anahangaika kufanya kampeni hizi kubwa kila siku!

Hii ndiyo maana ya HAKI sasa!
Mwamba ngozi tu.

Hiyo haki Sio kila anayeitamka anamaanisha.

Bahati nzuri unaelewa.

Maigizo ni sehemu ya maisha.
 
Law of the Universe !
WHAT GOES AROUND COMES AROUND !
Karma is for real 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone 😳🤷🏿‍♂️🙌 !
 
Nchimbi be careful

Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink

They what to do something then after election you will sleep then...

Na wataweka the man of their Network.

ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Walimuweka kwa kuhofia influence na power kwenye chama ila hawamuoni kama mwenzao.Nch.analifahamu hilo!.
 
Nchimbi be careful

Wherever you do, you go, you sleep, you eat,you drink

They what to do something then after election you will sleep then...

Na wataweka the man of their Network.

ili kuendelea kutubagaza because wewe umekuwa na power kwenye vyombo ingawa wewe Ni mwenzao nikwambie wanaogopa utawageuka.
Hivi watanganyika wote sisi tunamshindwa mtoto wa Mama na huyo Rostam?
Kweli? Inawezekanaje wao wakawa na uwezo wa kututeka na sisi tusiweze kuwateka.
Kero zote hizo zingeisha ghafla kama huyo Kijana angetekwa.
 
Nitakwambia kwa nini Nchimbi hana lolote la kuogopa toka kwa wanamtandao wenzake.
Huyu wanamhitaji sana, na wataendelea kumhitaji sana huko mbele za safari kutimiza mipango yao.
Nchimbi kama hataonyesha dalili za kujinasua kwenye kundi hilo, ni 'asset' muhimu katika mpangilio wa wao (mtandao) kubaki madarakani.

Ukimwondoa Nchimbi, ni lazima umpate 'substitute' wake atakaye shikilia kwa miaka 10 akiwa kibaraka wao kabla ya kumpa nafasi mtoto wa Kikwete kuendelea madarakani.

Haya yote mTandao wanadhani yatawezekana bila ya waTanzania kukataa upumbavu huo.
Wana mtandao wa watu wengi, Simbachawene vipi hafiti nafasi ya Vp au Mp?
 
Yaani nyie kila siku ni chokochoko TU..mkitoka huku mnahamia kule mnarudi huku ilimradi nchi isitàwalike..nchimbi ni msaidizi wa mama mpaka 2030 then nae ataanza 2030 mpaka 2040
Kwani Historia Huwa inafutika? tunachojua ni shida ya Madina na Rome
 
Back
Top Bottom