kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,709
- 25,490
Kwa nini usiandike kiswazi tu kama ung'eng'e haupandi?They what to do something then after election you will sleep then...🥺🥺🥺
Kwa nini usiandike kiswazi tu kama ung'eng'e haupandi?They what to do something then after election you will sleep then...🥺🥺🥺
YesHe is the man who will be running the show!.
P
Hakuna wa kumpa hio room 2030, Watu wako tayari kutoa maini ya Watu Ili wawache watu wao kwenye kiti Kikuu,Yaani nyie kila siku ni chokochoko TU..mkitoka huku mnahamia kule mnarudi huku ilimradi nchi isitàwalike..nchimbi ni msaidizi wa mama mpaka 2030 then nae ataanza 2030 mpaka 2040
Hao kugeukana ni muda wowote tu aisee, Ukizingatia Mkwere umri umesogea panaweza kuwa na Series ya Matukio mengi sana Kuelekea 2030 tutakuwa surprised kuona CCM inamleta Rizimoko kama Flag bearer mana Ile signal ya Mzee wake kumsifia hadharani kuwa amepita bila Kupingwa inaleta Ukakasi sanaKama hamjui huyo jamaa n mwana wa Wanamtandao ndio anaandaliwa kama itatokea bahati mbaya basi yeye ndie aje kuwa kifupi Wanamtandao wanaongoza 5-0 mpaka Sasa hv sub uliopo nje ni Moja tuu na inaweza kufanya comeback ya maana ni wewe tuu mtanzania.
Kumbuka huyu nae ni mbobezi anaonekana kama fala but sio fala kiivyo ovaMchezo wa kuwahiana. Kuna siku bendera inaweza kusimamia at half-mast kwa either of them. Atakaye muwahi mwenzake.
Mshana msomi balaa usicheze na ngeli yake. Leo hatujacheka kaamua kutuchekesha tu.Kwa nini usiandike kiswazi tu kama ung'eng'e haupandi?
Wapo wengi tu walio tayari hata kumtumikia shetani mwenewe mradi wakidhi mahitaji yao; bila kujali taifa lao linapitia hali gani.Wana mtandao wa watu wengi, Simbachawene vipi hafiti nafasi ya Vp au Mp?
Kabudi ni mpumbavu alikua anatoa namuona yule pale ukutani anaeonyesha picha ya Nyerere ikulu siku ile sio wa kumbagaza lile zee mpumbavu sana now limeweka mkia matakoni lile zee nafiki sanaWapo wengi tu walio tayari hata kumtumikia shetani mwenewe mradi wakidhi mahitaji yao; bila kujali taifa lao linapitia hali gani.
Kwani akina Kabuti Kalamaganda hatuwaoni?
Wakati wa Magufuli hao hao walijivika uzalendo kushinda wengine wote; ukiwauliza leo bila hata ya aibu watakupigia hadithi za kipumbavu.
Quiet doesnt mean broken, beware of search peoplesI like him, the guy is very quiet and he don't talk talk much talking. Broken.
Makamba na Mkwere wapo sawa kweli sasa hivi ?Kwenye michezo ya wahuni lazima kuwepo kusalitiana na kila mmoja kutolea jicho kiti cha boss..!!
Umenikumbusha ule wimbo wa mchaka mchakaNchimbi hawezi kuwa Rais wa kuchaguliwa, unless kitokeee kitu kingine.
sw Ridhione tumekusikiaYaani nyie kila siku ni chokochoko TU..mkitoka huku mnahamia kule mnarudi huku ilimradi nchi isitàwalike..nchimbi ni msaidizi wa mama mpaka 2030 then nae ataanza 2030 mpaka 2040
Kwa mfano, makando kando gani? Usisahau kutuwekea evidence. Asante!Huyo nchimbi nae amejaa makando kando mengi, nashangaa ameaminiwaje kuwa hapo ,,,,,
Aah mtandao
He is the man who will be running the show ??😳