Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,517
Hapana hommie... namjaribu tu shetanihii dhambi utaenda nayo kaburini haisameheki
Hapana hommie... namjaribu tu shetanihii dhambi utaenda nayo kaburini haisameheki
Na Swalehe?
Chukua espy uoe kabisa. Sihitaji wala mahari...
Sasa mbona kama anaanza kutikisa kiberiti babu?[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumbafuuuu.
Ngoja niende PM kabisaOngea na mhusika mwenyewe chalii. espy kuna mwenye neno na wewe.
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] naam[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
We mtoto!!!
[emoji849][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] naam
Nini sasa jamani babu kanichagulia wewe au unapingana na wakubwa zako?[emoji849]
Ndio kawaida yake. Akisema no anamaanisha yes.Sasa mbona kama anaanza kutikisa kiberiti babu?[emoji16]
Hujawaona watoto wenzio?Nini sasa jamani babu kanichagulia wewe au unapingana na wakubwa zako?
@kaizer huyu rafiki yako wa makaratasi ulimuokota wapi?Ndio kawaida yake. Akisema no anamaanisha yes.
Okay. Ila ananiita mtoto eti babu mbona ananikosea heshima!Ndio kawaida yake. Akisema no anamaanisha yes.
Utajiju...@kaizer huyu rafiki yako wa makaratasi ulimuokota wapi?
Hebu ngoja nije PM mambo mengine tusiongelee hapa tutafaidisha umati [emoji846]Hujawaona watoto wenzio?
Usikate tamaa...Okay. Ila ananiita mtoto eti babu mbona ananikosea heshima!
Nakuamini babu huwezi kuniingiza chaka.Usikate tamaa...