Are Kasie and Aspirin a couple?

Are Kasie and Aspirin a couple?

Wewe dawa yako siku utengenezewe cocktail moja Matata....

Halafu unawekewa ule wimbo wa Gwantanamera... gwarira gwantanamera.... ucheze aahahahahaaaa
Hapo kwenye hilo charanga ndio utanipatia mazima... nina kipaji cha kuyacheza hayo mapigo. Utanipenda wallah
 
Hapo kwenye hilo charanga ndio utanipatia mazima... nina kipaji cha kuyacheza hayo mapigo. Utanipenda wallah

Bibi Kasie huyo mwisho hapo anachungulia dirishani, na huyo babu mwenye Cigar mdomoni ndo Dadii.
 
Hapana. Mi mke wangu ni Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu ni Sakayo. Kasie ni partner wangu kwenye ulabu, starehe na anasa za dunia.

We kama unataka kumuoa jaribu bahati yako lakini haimaanishi kwamba utauvunja upatna wetu.

Ukishamuoa na akapata mimba, mtoto akizaliwa usisahau kucheki DNA kwa kuwa huwezi jua yanatokea nini kwenye starehe za dunia tunapokuwa tumeshanyuka ulabu wa kutosha.
Aiseee
 
Hivi babu hauna mjukuu humu unipe nile nae maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana. Mi mke wangu ni Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu ni Sakayo. Kasie ni partner wangu kwenye ulabu, starehe na anasa za dunia.

We kama unataka kumuoa jaribu bahati yako lakini haimaanishi kwamba utauvunja upatna wetu.

Ukishamuoa na akapata mimba, mtoto akizaliwa usisahau kucheki DNA kwa kuwa huwezi jua yanatokea nini kwenye starehe za dunia tunapokuwa tumeshanyuka ulabu wa kutosha.

Duu kumbe Sakayo ni mchepuko wako!
 
Unitumie kwa WhatsApp... ukiweka hapa utafaidisha wasiopenda maendeleo yetu.

Mahaba hayana chama

Nani kamwaga Kinywaji changuu..... naulizaaa....

989EA820-A0B7-46CE-8241-02CA74D64A07.jpeg

66701526-BDC4-4380-8A83-E7BF1125AE6C.jpeg

A4127311-2F08-4B36-9523-D1F89B9A62E0.jpeg

Nani kamwaga kinywaji changuuuu...!!!? Nauliza...!!!!
 
Hhahahahahahahaha looh!!

Babu Asprin tangu arudi kutoka kunywa mbege safari hii amekuwa mpoleee....

Wacha nikuwekee mambo hadharani hapa mchana kweupee na wengine nao waone na wasikie.

Kasinde aka Kasie aka mama crush aka Mahaba Matata na aka nyingine kibaooo ni mwanamke halali wa Dadii Kitoko....

Huyu Dadii ni memba wa humuhumu JF ila sio Asprin Asprin ni Babu yangu aka Big Sam aka dawa ya kutuliza maumivu.

Iko siku isiyo na jina wala namba Dadii atakuja hapa jukwaani na kujidhihirisha kuwa yeye ndo anamuweka Kasie mjini na mavacation ya kila aina.

Nampenda sana Dadii sana sana tena sanaaa yaani sijui niseme kwa ukubwa gani ionekane maepnzi yangu kwa Dadii ni ya sayari nyingine.......

Ukifatilia nyuzi za Kasie asilimia 90 ni maelezo ya Kasie na Dadii na ni Mahaba mwanzo mwisho. Niko hivyo hata kwenye ulimwengu wa nje....

Namfurahia Dadii vile tunaishi kila mmoja ni mchokozi kwa mwenzie.... yaani acha tuu nisiseme mengi. Atapita na hapa atasoma, sanasana anaweza kuweka like akijisikia.

Mabusu teletele kwako Dadii wa Kasie, mmmuuuhaaaaa!!!!!!

Sasa LIKUD mdogo wangu, kuwa mpole tuu siwezi muacha Dadii labda yeye aniache mimi...

K' Matata.
I assume mr kitoko anapewa raha zote hadi ile ya kubebwa akienda bafuni
 
Back
Top Bottom