Are Kasie and Aspirin a couple?

Are Kasie and Aspirin a couple?

Moyo wangu umemdondokea Kasie nahisi ni muke halali ya @Aspirin

Nataka nijiridhishe kabla sijapeleka majeshi coz nikipeleka majeshi am very tough fighter like the Inkontanyi.

Asprin

Hhahahahahahahaha looh!!

Babu Asprin tangu arudi kutoka kunywa mbege safari hii amekuwa mpoleee....

Wacha nikuwekee mambo hadharani hapa mchana kweupee na wengine nao waone na wasikie.

Kasinde aka Kasie aka mama crush aka Mahaba Matata na aka nyingine kibaooo ni mwanamke halali wa Dadii Kitoko....

Huyu Dadii ni memba wa humuhumu JF ila sio Asprin Asprin ni Babu yangu aka Big Sam aka dawa ya kutuliza maumivu.

Iko siku isiyo na jina wala namba Dadii atakuja hapa jukwaani na kujidhihirisha kuwa yeye ndo anamuweka Kasie mjini na mavacation ya kila aina.

Nampenda sana Dadii sana sana tena sanaaa yaani sijui niseme kwa ukubwa gani ionekane maepnzi yangu kwa Dadii ni ya sayari nyingine.......

Ukifatilia nyuzi za Kasie asilimia 90 ni maelezo ya Kasie na Dadii na ni Mahaba mwanzo mwisho. Niko hivyo hata kwenye ulimwengu wa nje....

Namfurahia Dadii vile tunaishi kila mmoja ni mchokozi kwa mwenzie.... yaani acha tuu nisiseme mengi. Atapita na hapa atasoma, sanasana anaweza kuweka like akijisikia.

Mabusu teletele kwako Dadii wa Kasie, mmmuuuhaaaaa!!!!!!

Sasa LIKUD mdogo wangu, kuwa mpole tuu siwezi muacha Dadii labda yeye aniache mimi...

K' Matata.
 
Hapana. Mi mke wangu ni Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu ni Sakayo. Kasie ni partner wangu kwenye ulabu, starehe na anasa za dunia.

We kama unataka kumuoa jaribu bahati yako lakini haimaanishi kwamba utauvunja upatna wetu.

Ukishamuoa na akapata mimba, mtoto akizaliwa usisahau kucheki DNA kwa kuwa huwezi jua yanatokea nini kwenye starehe za dunia tunapokuwa tumeshanyuka ulabu wa kutosha.
 
Hahahaha hakyamama nimemisi kukunywesha Amarula.
 
Hapana. Mi mke wangu ni Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu ni Sakayo. Kasie ni partner wangu kwenye ulabu, starehe na anasa za dunia.

We kama unataka kumuoa jaribu bahati yako lakini haimaanishi kwamba utauvunja upatna wetu.

Ukishamuoa na akapata mimba, mtoto akizaliwa usisahau kucheki DNA kwa kuwa huwezi jua yanatokea nini kwenye starehe za dunia tunapokuwa tumeshanyuka ulabu wa kutosha.

Ahahahahahahaha Baabuuu, hapo nilipo bold utampa na hofu Dadii ujue, ila kwa Dadii alivyo naanzaje kumuibia...... rangi yake, tabia, katoto lazima kafananie nae asilimia mia aahahahhhahahahaaa (Dadiii jana jioni tulizungumzia hili.... chotara wa Dadii na Kasie).

Nampongeza Sky yuko vizuri kukutunza, hongera sana Big Sam.
 
Back
Top Bottom