Hawajaolewa hao babu? Maana naheshimu sana ndoa za wanaume wenzangu.
Hawajaolewa lakini wana maboifrendi waoHawajaolewa hao babu? Maana naheshimu sana ndoa za wanaume wenzangu.
Okay [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawajaolewa lakini wana maboifrendi wao
Jebu jitambulishe kwa huyu chalii kwanza maana siwaelewi ujue@kaizer huyu rafiki yako wa makaratasi ulimuokota wapi?
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Utajiju...
We mwana we!!!Hebu ngoja nije PM mambo mengine tusiongelee hapa tutafaidisha umati [emoji846]
Babu Asprin unalitambua hili au ulikua hujui? [emoji3]
Kama umesema hivyo basi ngoja niache wakubwa waendelee kufaidi na mimi nikikua nitafaidi kwa wakati wangu [emoji58][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chalii mie mke halali wa Kaizer , utatenguliwa kiuno shaurilo.
Uyo babu kilichobaki ni kukuingiza tu Segerea bila kujua, we endelea kumfatilia uone[emoji2]Babu Asprin unalitambua hili au ulikua hujui? [emoji3]
Subiri kwanza ukue, sawa mtoto mzuri?Kama umesema hivyo basi ngoja niache wakubwa waendelee kufaidi na mimi nikikua nitafaidi kwa wakati wangu [emoji58]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125]Uyo babu kilichobaki ni kukuingiza tu Segerea bila kujua, we endelea kumfatilia uone[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mama.Subiri kwanza ukue, sawa mtoto mzuri?
Haiwezekani aniteketeze mjukuu wake kirahisi hivyoHuyo babu kashindikana duniani na ahera, shurilo utakutumbukiza shimoni.
Kumbe!!Haiwezekani aniteketeze mjukuu wake kirahisi hivyo
Dah, sasa nielekee wapi. Inamaana huku wote mmeolewa au kufanyiwa booking tayari?Kumbe!!
Kwanza kakuelekeza kwa mke wa mtu, pili kwa wake za watu watarajiwa. Bado tu haujaelewa!!
Asiefunzwa na mamaye.......